Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Kichwa maji wa Bawacha unataka kutuambia kwa UK hakukuwa na matukio ya mauaji au hakuna uhalifu?Amani ya kummiminia Lissu risasi, amani ya kuota miili ya watu kwenye viroba, amani ya kuambia tusiseme vyuma vimekaza.
Hongera kwa UK ulistahili, wewe ni Baba wa Demokrasia hapa EAC.
Unamkumbuka mkurugenzi wa IT bwana msando?
Mauaji yanayotokea kenya hasa kwa wapinzani?
hahahaha hakuna kipimo kimoja kwenye hiyo tuzo...
Pole sana dada