Tetesi: Afrika Kusini: Rais Magufuli adaiwa kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Mandela (Mandela Peace Prize)

Tetesi: Afrika Kusini: Rais Magufuli adaiwa kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Mandela (Mandela Peace Prize)

Status
Not open for further replies.
Maajabu ya africa tuzo ya amani? Au mimi ndiyo sijui maana ya amani? Hastahili kabisa
 
Amani . Hivi benny 8 yuko wapi vile? Wale jamaa wasiojulikana ni akina nani vile? Siasa bana mchezo mzuri sanaaaa
Hakuna kitu mchina hawezi kutengeneza! Hata amani ukimpa tenda ya kuitengeza anaweza, ni wewe tu umejipangaje kwenye pochi yako!
Wanaweza hata kutengeneza malaika wanaoweza kuzima mitandao ya kijamii! chezea macho madogo weye!
 
'Mwingine ni Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza aliyetuzwa tuzo ya ujasiri (Mandela Courage)'.

Huyu jamaa kweli jasiri maana iwe kwa damu au machozi hayupo tayari kuachia Ikulu,anastahili tuzo bila shaka.
 
Kama Nkurunzima naye anapewa hilo Tuzo la Mandela basi tuzo Fake!!
 
Hivi hao waandaaji wa hizo tuzo wanataarifa sahii juu ya washindi wao au nini kimewasukuma kutoa tuzo kwa mtu kama Nkurunzinza'Eti Jasiri'
 
Hapa Sasa!, ngoja waje wale wenye kile chama ambacho kina miaka 25, bado hakina ofisi yenye hadhi, ispokua kimepangishwa na mwenyekiti wa maisha wa Sacco's
 
  • Thanks
Reactions: kg1
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom