Afrika Kusini waanza kupitishia mizigo yao yakiwemo magari katika bandari ya Dar es Salaam

Afrika Kusini waanza kupitishia mizigo yao yakiwemo magari katika bandari ya Dar es Salaam

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.

Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa

Chanzo: ITV habari
 
Unazungumzia nchi ya Afrika Kusini au wananchi wa Afrika Kusini waishio Tz?

Bwashee, nahisi umelewa pensheni na sasa inakuzeesha vibaya!!
Hahahaaaa.......umeambiwa wafanyabiashara wa South Africa bwashee!
 
Back
Top Bottom