Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Ndiyo!Kwahiyo msemaji wa TPA anavuta bange?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo!Kwahiyo msemaji wa TPA anavuta bange?
Kama ndio hivyo, kwanini Serikali imekataa kujenga bandari ya Bagamoyo....sio kila kitu mwanasiasa anasema ni cha kweli mdau...Wachina hawakuwa wajinga kutaka kujenga Bandari ya Bagamoyo Tanzania, ndio maana Kenya wana haha kujenga LAMU port kabla ya Bandari ya Bagamoyo...
Pwani ya Tanzania ndio Eneo bora kabisa na Strategically kuingia Africa.
Warumi enzi hizo kabisa walijenga kituo chao cha Biashara Pwani Africa Mashariki (Mafia Island).
Kama tutakuwa na Bandari kubwa na Taifa la Viwanda Tanzania inaweza kukua kiuchumi kwa zaidi ya 8% kila mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinsi gani unaandika,Inaonekana stressed, na wala sikulazimishi kuandika kurasa lote hilo, nimesoma sentence ya kwanza tu nikaona utopolo wako.Huyo ni mungu wako! kwani miungu si iko miiingi tu? mfano mungu Baari, Zeus, Allah subuhana wataalah nk! hawana mfano wa kitu chochote hawa ooloh! sasa wako ni yupi kati ya hao! kwani amemtaja? sasa wapi ameonyesha amemsema miungu wako hao?
Unaumia hovyohovyo tu! km jini makata? nini sasa? acha hizo wewe jini mzee! ndivyo mungu wako alivo? huyo ni wa kwako hatuhusu sisi wana Jf! wacha ture burudani.
Kwa mujibu wa Biblia kuna watu wameumbwa kwa mfano wa Mungu! kabisaa yes! huyo ni wa kwao! wanamfurahia uwepo wao! kuna visheitwani pia vimeumbwa km shetani sasa hapa ni mizani kinzani! mungu wako huyo jua kabisa hawahusu wale wa Mungu wa Biblia!!
Acha jazba! na mungu wako huyo! ndivo alivo wafundisha? hizi anga nyingine utaja jifia bureee! na hako kamungu kako kanakula kona! kana kuacha peke yako Hayaaa!
Looh! pole!! jua mungu wako hatuhusu wote humu, hatumtaki kwanza! sasa Utopolo ndo nini Babu? ! au Imekugusa but any way kunywa panadol kwa mangi hapo!Jinsi gani unaandika,Inaonekana stressed, na wala sikulazimishi kuandika kurasa lote hilo, nimesoma sentence ya kwanza tu nikaona utopolo wako.
Hii sio Swala la Siasa ni swala Lililo wazi...Kama ndio hivyo, kwanini Serikali imekataa kujenga bandari ya Bagamoyo....sio kila kitu mwanasiasa anasema ni cha kweli mdau...
Nimekuelewa.... ''Ila Bandari ya Bagamoyo bado haijawa endelevu tangu awamu ya tano ilipoingia madarakani, sijui tatizo ni nini?Hii sio Swala la Siasa ni swala Lililo wazi...
Africa Kusini haiwezi kuagiza Mizigo East Asia ikapitia Tanzania kwa sasa...
Lakini, kwa sababu nilozozisema it is possible Pwani yetu ikawa Mizigo inashushwa na Kuja kuchukuliwa na Meli za Africa Kusini au Waafrika Kusini wenye Biashara Baadhi ya Nchi za SADC wakatumia Bandari yetu...
Endapo Bagamoyo Port itakamilika Basi Ukanda wa Bahari Ya Hindi Bandari yetu ndio itakuwa Kinara...
Bandari ziko Artificially na Naturally Sehemu kubwa, mfano Bagomoyo ni aina zote hivyo ndio maana inawavutia wengi kuliendeleza hilo eneo kama Bandari
Sent using Jamii Forums mobile app
MSUKULE weweNaona .....WANA CHADEMA hawaamin ....wanapinga[emoji23][emoji23][emoji23]
TPA hawana chama bwashee!Vijana WA Lumumba mmerogwa si bure
TPA siyo wapiga debe!Wapiga debe punguzeni uongo Basi
Daaah eti Africa kusini
Mnatuoana mafala Sana etii eeeeh!!