Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanabandari na vifaa vya kisasa. Uongo huoSouth Africa sio kuwa wana bandari nao? Hawana uzalendo wale ee?
Mizigo bila namba?Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.
Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa
Chanzo: ITV habari
Hebu tukubaliane kwamba baada ya siku tatu mzigo inatoka bandarini. Baada ya hapo siku ya nne unaanza safari ya kupelekwa huko SA. Toka hapa kwetu, pitia mipaka ya Zambia, Zimbabwe hadi Afrika Kusini si chini ya siku tatu. Je, hi inalipa kweli kwa wafanyabiashara wa Afrika Kusini kwa maana ya muda na gharama za usafirishaji?Umeambiwa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu na wasauzi wamefurahishwa na jambo hilo!
Kamanda mbwakachoka! byUwe unatumia akili japo kiduchu.
Egypt nayo watatumia bandari yetu bwasheKamanda mbwakachoka! by
Bwashee Kupanga ni kuchagua!Egypt nayo watatumia bandari yetu bwashe
Ova
Sasa msemaji wa TPA ndio hawezi kuwa mpuuzi sawa na wapuuzi wengine?Post # 123 yupo sahihi na ndicho msemaji wa TPA alichosema.
Hawa vichaa wapuuze tu wamechanganyikiwa.Mizigo bila namba?
Kama ni hivyo hii haikupaswa kuwa habari. Ni sawa tu na kusema Vodacom Tz (ni ya wa South Africa), wanatumia Bandari ya Dar! Isn't it just a logical thing to do? Actually, itakuwa habari kama nikisikia Vodacom Tz wanapitisha mizigo yao Durban badala ya Dar. Ama?South African business men who have interests in countries like DRC, Zambia, Malawi. Tanzania is a better option than South Africa, Tanzania imependelewa kijiografia kuliko nchi nyingi za Afrika natumahi uko unafahamu hilo.
Kazi kweli kweli!Kama ni hivyo hii haikupaswa kuwa habari. Ni sawa tu na kusema Vodacom Tz (ni ya wa South Africa), wanatumia Bandari ya Dar! Isn't it just a logical thing to do? Actually, itakuwa habari kama nikisikia Vodacom Tz wanapitisha mizigo yao Durban badala ya Dar. Ama?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] south Africa ya Chato itakuwa hiyoNchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.
Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa
Chanzo: ITV habari