Afrika Kusini waanza kupitishia mizigo yao yakiwemo magari katika bandari ya Dar es Salaam

Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.

Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa

Chanzo: ITV habari
Absolutely not true!
Weka uthibitisho.
Tanzania to S Africa ni 4,000km.
Utashusha mzigo Dar halafu upakie trailer kwenda Sauzi?
Does not make sense!
Ni kama vile unaenda Bukoba halafu ukaamua kushukia Airport ya Kilimanjaro!
 
Mleta Mada ni ile mitoto mitukutu ilio kimbia umande!!! sasa humu wanaonekana watu vilaza! ?? kwanza hata sidhani jeografia ya Africa anaijua huyu!!! ulimaanisha bongo kusini au!1 Msomi hata wa drs la saba tu kumjua ni padoogo sana!!

yaani huyu afukuzwe tu hata humu jf ni aibu na hasara nene!! kwa habari km hii hii!! unajaza saver tu! ungekuwa mkubwa km mimi ningekutukana sana matusi ya nguoni mpaka ushindwe kutembea!
 
Kwa sababu chapati moja ni sh.300, ukinunua mbili unauziwa 500 hivyo unakuwa umeokoa 100 kuongezea kwenye fungu la bamia.
Kuna siku nilikuwa mgahawani nikaagiza kwa sauti "mama muuza naomba chai na chapati nne"!,aisee watu wote mule mgahawani walinikodelea mimacho!
Turudi kwenye mada,Tupunguzeni kusifia jaman kuna vingne tunasifia vitu ambavyo havipo kabsa na haviwezekani
 
Hata mimi simwamini hata kidogo. South Africa wapitishe kwenye bandari yetu na huku wana bandari zao. Huu ni uwongo wa mchana. Yaani mizigo iteremshwe ipitie Zambia, Zimbabwe hadi South Africa?. No hapana.
 
South African business men who have interests in countries like DRC, Zambia, Malawi. Tanzania is a better option than South Africa, Tanzania imependelewa kijiografia kuliko nchi nyingi za Afrika natumahi uko unafahamu hilo.
 
Yaani mpaka 'sothafrika' wanapita huku? Halafu wanaanza barabara tena? Barabara zetu hizihizi zenye speed limit ya 50km/h kila baada ya km 5 na 'tafiki' wenye njaa ?
South African business men who have interests in countries like DRC, Zambia, Malawi. Tanzania is a better option than South Africa, Tanzania imependelewa kijiografia kuliko nchi nyingi za Afrika natumahi uko unafahamu hilo.
 
Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.

Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa

Chanzo: ITV habari
Hayo magari na mizigo mingine vinaendaje hu SA?
Yaani suala ni ufanisi tu.
 
Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.

Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa

Chanzo: ITV habari
Too sweety to believe
 
Wewe ni kilaza mkubwa sana,unaujua umbali wa kutoka Dar mpaka south,unazijua bandar za south Africa, unazijua route kubwa zote za Meli lazima zikaishishie south,kwa taarifa yako hawatumii bandari moja kama tunavyotumia ya Dar
Mbona umefura manka?
 
Mleta Mada ni ile mitoto mitukutu ilio kimbia umande!!! sasa humu wanaonekana watu vilaza! ?? kwanza hata sidhani jeografia ya Africa anaijua huyu!!! ulimaanisha bongo kusini au!1 Msomi hata wa drs la saba tu kumjua ni padoogo sana!!

yaani huyu afukuzwe tu hata humu jf ni aibu na hasara nene!! kwa habari km hii hii!! unajaza saver tu! ungekuwa mkubwa km mimi ningekutukana sana matusi ya nguoni mpaka ushindwe kutembea!
Wewe ndio mbwiga kwani SA hawauzi Zambia na DRC?!

Bavicha mna viburi sana!
 
Tuliza akili dogo acha mihemko! up countiries mna viherehere sana kuisemea Bandari ya bongoland sijui kwa nini? hauishi bongoland but unaisemea Bandari za Bongoland hivi unajua kwa nini uzalishaji kwa TAZARA ulishuka sana, na unaendelea kushuka mpaka leo?

Lusaka commercial Centre, Bandari salama na Durban ni wapi bei nafuuu, salama na karibu? kwa akili za geografia ya drs la nne sasa hizi! tuanzie hapo! hata kama ulisikia ITV huwezi tumiakichwa chako kutafakari? how possible?

Unayabeba ya wanasiasa wa maji nanii ... Bongo land km yalivyo unayakalia!! unayaleta humu. dogo!! dogo utachina wakati siyo muda wako !!! yaani huelewiiii!! eti wapi vile DRC hivi bado tu unaamini DRC ni salama kweli kwa biashara? za nini

kwanza watu wenyewe kucha kutwa wanakimbia kimbia wale!! hawajatulia wale, watauza nini? na kununua saa ngapi? kwa nani? ili Taifa lolote Duniani liendelee linahitaji vitu vinne au ukilaza wako hukusoma hii shule ya msingi?;

!1.Watu,- jiulize wapo au walikimbia, na wanaendelea wanakimbia? hata hao wachache hawana ulinzi pili hawajiamini km kesho itafika, hana hela halafu wewe umpelekee mafuta ya gari! hii akili au kopo?

2.Ardhi, ipo je inatumika kuzalisha ipasavyo wkt hkn watu?

3.Siasa safi - zipo DRC juzi kati hapa zimepigwa bungeni au hukuona weye? na

4. Uongo... bora s
asa je hayo yapo- DRC? si ndivo mlivofundishwa huko katani kwenu au hukuhudhuria wewe? ulikuwa mtoro? hiyo shule yako ya nyuma huko itumie hapa au ulitupa daftari?

sasa km haya yote hayapo DRC eti weye sijui muarabu unaenda fanya biashara huko, sijui utanya na nyani? elimu ya Mkapa haikukusaidia kitu! rudi drsani!

kwanza shughuli za uzalishaji mali wale hawafanyi ni chupi mkononi mda wowote kinanuka!! wewe yohana mbatizaji wa wapi sijui upeleke Mimali yako hapo ukauze kwa usalama wakati wenyeji hawapo upate faida urudi bongo sijui south ule na kunywa?

oK biashara ajili ya nani? wewe ukiona Siraha rasmi ya kikundi rasmi zinapita Bongo to kongo unashangilia na kudhani ni biashara ya kawaida ile DRC kumekucha siyo? sasa gusa ufe!!! Utumiwe kama chambo kwanza nikuulize wewe ni mzungu au!!!

Zambia ni sawa kuna utulivu hii kwanza hata usingeisema sababu tangia JK nyerere tuanayo hii!! lkn hawatumii bandari zetu finyu!! Wana siasa wanasemaga kwa watu km nyie mnayachukua km yalivo mnaenda kusambaza kwa watu wenye akili zao! tunasem noooooo!
 
Yaani unamaanisha South Africa hawaziamini bandari zao wanaiamini ya kwetu?!

Nyie mmechanganyikiwa, naona uongo wenu sasa unavuka vipimo mlivyojiwekea.
Hivi kwanini mashabiki wa Lisu na Amsterdam mnajidharau sana?
 
Usikariri bwashee!
 
Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.

Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa

Chanzo: ITV habari
Hiyo ni afrika kusini ya chato
 
Hiyo mizigo inatoka nje unapita Dar alafu ndo inaenda huko kusini mwa Africa au inatoka huko kusinj mwa Africa inakuja kwetu
Au inatoka kusini mwa Africa inapita kwetu alafu inaenda mbele zaidi

Maelezo yaliyonyooka tafadhari.
Wakati mwingine ukimkaba mtu koo umwachie kidogo sekunde 5 alafu umkabe tena akikujibu ndio umalizie kabisa
 
Wewe ulitaka wapakie kwenye ungo?

Mkuu taratibu. Haya majibu ya kisangoma hayana tija kwa wadau.

Kilichosemwa ni bandari ya DSM kutumika kama “transshipment port” kwa mizigo iendayo Afrika ya Kusini. Kama “hub port” ya kusini mwa Afrika.

Yaani meli kubwa za magari yenye kiasi cha shehena ya A Kusini inashusha mzigo wote DSM na kiasi kinachoenda AKusini kinachukuliwa na meli ndogo zaidi kupelekwa huko. Hakuna cha lori, treni wala ungo.

Bandari ya Mombasa hutumika hivyo. Kuna mizigo ya Tz, Mozambique, nk. huchukuliwa pale na meli ndogo zaidi hadi destination ports.

Kama ni kweli basi ni heri. Uchumi wa kati ndogo.
 
Back
Top Bottom