johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naunga mkono hoja... chai ya kufungulia mwaka!Uongo mtupu
Umeambiwa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu na wasauzi wamefurahishwa na jambo hilo!Hiyo mizigo inatoka nje unapita dar alafu ndo inaenda huko kusini mwa Africa au....
Kwa rip Mandela!Naomba kuuliza Africa kusini ya wapi? Sudan kisini au kisini ya kusini?
Unazungumzia nchi ya Afrika Kusini au wananchi wa Afrika Kusini waishio Tz?Nchi ya Afrika kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo....
Hahahaaaa.......umeambiwa wafanyabiashara wa South Africa bwashee!Unazungumzia nchi ya Afrika Kusini au wananchi wa Afrika Kusini waishio Tz?
Bwashee, nahisi umelewa pensheni na sasa inakuzeesha vibaya!!
Wewe unadhani watapakia kwenye nini?!Kwa hiyo mizigo ikifika Dar inapakiwa kwenye malori kwenda Afrika Kusini?
Akikujibu niambie.Kwa hiyo mizigo ikifika Dar inapakiwa kwenye malori kwenda Afrika Kusini?
Wewe ulitaka wapakie kwenye ungo?akikujibu niambie.