Afrika Kusini waanza kupitishia mizigo yao yakiwemo magari katika bandari ya Dar es Salaam

Kama ndio hivyo, kwanini Serikali imekataa kujenga bandari ya Bagamoyo....sio kila kitu mwanasiasa anasema ni cha kweli mdau...
 
Jinsi gani unaandika,Inaonekana stressed, na wala sikulazimishi kuandika kurasa lote hilo, nimesoma sentence ya kwanza tu nikaona utopolo wako.
 
Jinsi gani unaandika,Inaonekana stressed, na wala sikulazimishi kuandika kurasa lote hilo, nimesoma sentence ya kwanza tu nikaona utopolo wako.
Looh! pole!! jua mungu wako hatuhusu wote humu, hatumtaki kwanza! sasa Utopolo ndo nini Babu? ! au Imekugusa but any way kunywa panadol kwa mangi hapo!

Ka-mungu kako hako kanipe stress mimi? mwee! thubutu!!! kamekudanganya jioni kweupeee! na ndo vitabia vya miungu wa hivi! vinatoaga vimatumani fake mnoo ! kaache bana!! lkn ukisha bobea kuviabudu ndo km hivi...

siku kakikuzamisha mazima utanikumbuka haya weee!
 
Kama ndio hivyo, kwanini Serikali imekataa kujenga bandari ya Bagamoyo....sio kila kitu mwanasiasa anasema ni cha kweli mdau...
Hii sio Swala la Siasa ni swala Lililo wazi...

Africa Kusini haiwezi kuagiza Mizigo East Asia ikapitia Tanzania kwa sasa...

Lakini, kwa sababu nilozozisema it is possible Pwani yetu ikawa Mizigo inashushwa na Kuja kuchukuliwa na Meli za Africa Kusini au Waafrika Kusini wenye Biashara Baadhi ya Nchi za SADC wakatumia Bandari yetu...

Endapo Bagamoyo Port itakamilika Basi Ukanda wa Bahari Ya Hindi Bandari yetu ndio itakuwa Kinara...

Bandari ziko Artificially na Naturally Sehemu kubwa, mfano Bagomoyo ni aina zote hivyo ndio maana inawavutia wengi kuliendeleza hilo eneo kama Bandari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo utawaua aisee , Africa Kusini wenye bandari nyingi na bora wapitishie kwenye bandari ya Dar es Salaam vitu vyao dahhhh! Au wanapitisha bure ?
 
Nimekuelewa.... ''Ila Bandari ya Bagamoyo bado haijawa endelevu tangu awamu ya tano ilipoingia madarakani, sijui tatizo ni nini?
 
Wapiga debe punguzeni uongo Basi

Daaah eti Africa kusini

Mnatuoana mafala Sana etii eeeeh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…