Afrika kusini wamtengenezea Brenda Fassie Sanamu ili kumuenzi, Tanzania inaweza kumtendea Msanii gani jambo hili?

Bi Kidude angekua kivutio kizuri sana. Anafahamika nje na duniani, ni msanii mzuri na ni legendary kweli kweli. Achana na hawa wasanii wa Kwa Macheni
 
Wasanii ni wengi mnoo..

Mbaraka mwishehe, marijani rajabu ni favorites kwangu
 
Kwani Misanamu ya nini katika nchi?

Bora elimu ndio muhimu kwa jamii sio kumbukizi za hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…