Afrika kusini wamtengenezea Brenda Fassie Sanamu ili kumuenzi, Tanzania inaweza kumtendea Msanii gani jambo hili?

Afrika kusini wamtengenezea Brenda Fassie Sanamu ili kumuenzi, Tanzania inaweza kumtendea Msanii gani jambo hili?

Bi Kidude angekua kivutio kizuri sana. Anafahamika nje na duniani, ni msanii mzuri na ni legendary kweli kweli. Achana na hawa wasanii wa Kwa Macheni
 
Wasanii ni wengi mnoo..

Mbaraka mwishehe, marijani rajabu ni favorites kwangu
 
Kwani Misanamu ya nini katika nchi?

Bora elimu ndio muhimu kwa jamii sio kumbukizi za hayo
 
Tanzania tumjengee Chid Benz![emoji53][emoji53][emoji53]
images-3.jpg

Chagua moja hapo tumtengenezee
images-2.jpg
 
Back
Top Bottom