Afrika Kusini wasijaribu kutaka kuzichapa na Rwanda. Watachakazwa vibaya sana

Afrika Kusini wasijaribu kutaka kuzichapa na Rwanda. Watachakazwa vibaya sana

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri.

Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu juu kwa juu. Lakini mimi nimefanya kazi na jesh la SA. wa hovyo sana wale jamaa hawana nidhamu kabisa. Watu wa starehe kinyama. Piga sana pombe na mademu. Halafu hawataki shida.

Tofauti na M23 na Kagame.hawa jamaa ni wabishi sana. Nimeona kazi zao hasa huko maporini. SADC na MONUSCO wanapata kipigo sometimes hawaelewi wafanye nini. Wanachoka. Hali ni mbaya kwao.

Ramaphosa ni mmoja ya Maraisi Bwege sana. Ni kama tutusa tu. Ndo maana Kagame hamwogopi. Na hana uungwaji mkono mkubwa huko SA. Basi tu wananchi wa SA ndo wale wale wanaumizwa na ukabila.

Soma pia:
 
🤣🤣🤣 uelewa! Lakn mkuu unajua vta kwl au unaleta maneno ya kweny kahawa
Kagame ana watu huko SA. AMBAYO NI KAMA STATE ILIYO FAIL. NIMEKAA MIAKA 3 SA. naifahamu. Kagame alishaingia SA. AKAUA MTU ALIYETAKA NA AKAONDOKA BILA SHIDA. ANAIJUA SA. Wewe hujui kitu.

Nimefanya kazi mataifa makubwa 7 hapa Afrika na matatu madogo ikiwemo Rwanda. Naelewa. Kwa sasa nipo MAREKANI mwaka wa ...... Huu. Kagame nafahamu kwa nini anadindisha kwa Sa. Sasa wewe sema ni kahawa. Wala sikukatazi.
 
Ni mjinga fulani hivi! Akianza kushambuliwa huwa analia kwenye Jumuiya za Kimataifa.

Kipindi cha mwanzo Tanzania ilipotoa kipondo kizito akatoa waraka mrefu kuanza kulia lia kwenye Jumuiya za Kimataifa.
Hizi jumuiya zilibidi ziwe hazicheki na nyani kama vile ECOWAS ilivyomtoa Yahya kule... Sema sasa wanaonea noma maana wote ni wale wale, huyu anawaza nikijitia kimbelembele kesho ntaiba uchaguzi na mimi waniandame, mwingine anawaza nitabadili katiba nibake madarakani waniandame basi wanaamua kupiga kimya.
 
Kagame ana watu huko SA. AMBAYO NI KAMA STATE ILIYO FAIL. NIMEKAA MIAKA 3 SA. naifahamu. Kagame alishaingia SA. AKAUA MTU ALIYETAKA NA AKAONDOKA BILA SHIDA. ANAIJUA SA. wewe hujui kitu. Nimefanya kazi mataifa makubwa 7 hapa Afrika na matatu madogo ikiwemo Rwanda. Naelewa. Kwa sasa nipo MAREKANI mwaka wa ...... Huu. Kagame nafahamu kwa nini anadindisha kwa Sa. Sasa wewe sema ni kahawa. Wala sikukatazi.
Nasikia na hapa kwetu wamejazana kwenye vitengo nyeti.
 
Back
Top Bottom