Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Kwa sababu hiyo ndiyo uingie vitani?Ndo atume sasa si amekaribishwa.
Maarifa aliyokupa Mungu yatumie sawa sawa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu hiyo ndiyo uingie vitani?Ndo atume sasa si amekaribishwa.
Wapo hapo nchini. Inafahamika. Na wengine wameolewa na viongozi wakubwa. Kagame anajiamini sana.Nasikia na hapa kwetu wamejazana kwenye vitengo nyeti.
South afrika amealikwa kama anataka kuzichapa anakaribishwa.Mbona mnamkuza sana kagame, ana uwezo na mbinu gani za kuipiga south africa?
Sasa unataka sababu gani? Mtu amekuulia wanajeshi wako 13. Na anakuambia kama hujatosheka nenda tena akumwage choo. Unasubiria nini?Kwa sababu hiyo ndiyo uingie vitani?
Maarifa aliyokupa Mungu yatumie sawa sawa!
Kitu kinachombeba Rwanda ni dunia kama iliwatelekeza kwenye mauaji yao. Kwa namna fulani kama amepewa room flani hivi!Hizi jumuiya zilibidi ziwe hazicheki na nyani kama vile ECOWAS ilivyomtoa Yahya kule... Sema sasa wanaonea noma maana wote ni wale wale, huyu anawaza nikijitia kimbelembele kesho ntaiba uchaguzi na mimi waniandame, mwingine anawaza nitabadili katiba nibake madarakani waniandame basi wanaamua kupiga kimya.
Israel na Iran ipi kubwa ki eneoSouth Africa akiamu kutumia ndege hata 50 hiyo Rwanda itakuwa wapi?
Kuna vitu mjaribu kuvifikiria!
Lakn syo kweny issue za security kufanya kaz hzo nch haimaanish unajua usalama na sr yao kagame anamuonea tu DRC ebu amjarbu MburundKagame ana watu huko SA. AMBAYO NI KAMA STATE ILIYO FAIL. NIMEKAA MIAKA 3 SA. naifahamu. Kagame alishaingia SA. AKAUA MTU ALIYETAKA NA AKAONDOKA BILA SHIDA. ANAIJUA SA. wewe hujui kitu. Nimefanya kazi mataifa makubwa 7 hapa Afrika na matatu madogo ikiwemo Rwanda. Naelewa. Kwa sasa nipo MAREKANI mwaka wa ...... Huu. Kagame nafahamu kwa nini anadindisha kwa Sa. Sasa wewe sema ni kahawa. Wala sikukatazi.
Kubwa ni Iran.Israel na Iran ipi kubwa ki eneo
Mburundi ndo kabisa hamna kitu pale.Lakn syo kweny issue za security kufanya kaz hzo nch haimaanish unajua usalama na sr yao kagame anamuonea tu DRC ebu amjarbu Mburund
Nadhani majibu umepata.Kubwa ni Iran.
Unataka kusemaje Mkuu?
Basi ukubwa wa eneo sio tijaKubwa ni Iran.
Unataka kusemaje Mkuu?
Alikuwa mrwanda anamsumbua kweny mipaka lakn alipo mrundi syo wale wa DRC wazee wakukata mauno kame akasema yaisheMburundi ndo kabisa hamna kitu pale.
Eti bwanaKila vita inapiganwa kwa sababu maalumu sio kwa kutafta heshima, we ni mwanajeshi? Niambie kwa unavoona SA ana sababu gani ya kupigana na Rwanda?
Mbona mnamkuza sana kagame, ana uwezo na mbinu gani za kuipiga south africa?