Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
Hata kwa hesabu tu ya kipofu jambo lako haliwezekani.Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri.
Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu juu kwa juu. Lakini mimi nimefanya kazi na jesh la SA. wa hovyo sana wale jamaa hawana nidhamu kabisa. Watu wa starehe kinyama. Piga sana pombe na mademu. Halafu hawataki shida.
Tofauti na M23 na Kagame.hawa jamaa ni wabishi sana. Nimeona kazi zao hasa huko maporini. SADC na MONUSCO wanapata kipigo sometimes hawaelewi wafanye nini. Wanachoka. Hali ni mbaya kwao.
Ramaphosa ni mmoja ya Maraisi Bwege sana. Ni kama tutusa tu. Ndo maana Kagame hamwogopi. Na hana uungwaji mkono mkubwa huko SA. Basi tu wananchi wa SA ndo wale wale wanaumizwa na ukabila.
Soma pia:
Fananisha uchumi wa South Africa na Rwanda alafu uone nani anaweza kugharamia vita kwa mda mrefu na kumiliki zana za kisasa za vita.
Angalia population ya South Africa ni zaidi ya milioni 80 alafu population ya rwanda ni ni almost milioni 14 hadi 15, unadhani hapa nani atakuwa na man power ya kutosha kwa ajili ya vita.
Angalia ukubwa wa eneo la Rwanda alafu fananisha na South Africa, Rwanda ukubwa wake kieneo ni sawa na mkoa wa KAGERA, probably inaweza kushambuliwa kutoka pande zote 4 za dunia bila kipingamizi chochote maana ni land locked country haina hata bahari.
Shame on you Idiot