Afrika Kusini wasijaribu kutaka kuzichapa na Rwanda. Watachakazwa vibaya sana

Afrika Kusini wasijaribu kutaka kuzichapa na Rwanda. Watachakazwa vibaya sana

Kagame ana watu huko SA. AMBAYO NI KAMA STATE ILIYO FAIL. NIMEKAA MIAKA 3 SA. naifahamu. Kagame alishaingia SA. AKAUA MTU ALIYETAKA NA AKAONDOKA BILA SHIDA. ANAIJUA SA. Wewe hujui kitu.

Nimefanya kazi mataifa makubwa 7 hapa Afrika na matatu madogo ikiwemo Rwanda. Naelewa. Kwa sasa nipo MAREKANI mwaka wa ...... Huu. Kagame nafahamu kwa nini anadindisha kwa Sa. Sasa wewe sema ni kahawa. Wala sikukatazi.
Acha mbwembwe we muhaya
 
Wamejazana kibao Munduli na vyuo vyetu vya kijeshi kufundishwa maswala ya uongozi na skills za kijeshi. Vitu vingine kama hamjui nyamazeni tu, ila hao unao wasifia ni weupe.

Sema tu nchi za Magharibi zinamlinda sababu maslahi yao DRC, maana zaidi ya asilimi sabini Cobalt inayotumika kwenye kutengeneza mabetri ya simu na magari inatokea DRC, bado kuna dhahabu, almasi,copper na madini mengine mengi.

Na kama hujui huu ugomvi Russia anataka kuununua na tayari kishatoa onyo kwa M23 na Rwanda waiache DRC na anafanya hivi kuwavurugia nchi za Magharibi hasa upande wa Cobalt,hata hao Mercenaries wapo kulinda maslahi ya nchi za Magharibi.
UONGO. USA WAMESHAMWAMBIA KAGAME AACHANE NA HUO UGOMVI.
 
Sasa huyo kagame ..........kama tu kupigana na tanzania hawezi ..........tena sisi tunamuunganisho na wapemba wale raini raini kabisaa ndio aweze kupigana na south wazulu wakorofi kuliko ukorofi ...............
 
Kila vita inapiganwa kwa sababu maalumu sio kwa kutafta heshima, we ni mwanajeshi? Niambie kwa unavoona SA ana sababu gani ya kupigana na Rwanda?
Na hiyo sababu lazima iwe na maslai mapana ya Nchi, mfano tz tunaenda kupigana congo coz tumepewa eneo sehemu ya ziwa Tanganyika upande wa Kongo tumejenga bandari
 
Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri.

Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu juu kwa juu. Lakini mimi nimefanya kazi na jesh la SA. wa hovyo sana wale jamaa hawana nidhamu kabisa. Watu wa starehe kinyama. Piga sana pombe na mademu. Halafu hawataki shida.

Tofauti na M23 na Kagame.hawa jamaa ni wabishi sana. Nimeona kazi zao hasa huko maporini. SADC na MONUSCO wanapata kipigo sometimes hawaelewi wafanye nini. Wanachoka. Hali ni mbaya kwao.

Ramaphosa ni mmoja ya Maraisi Bwege sana. Ni kama tutusa tu. Ndo maana Kagame hamwogopi. Na hana uungwaji mkono mkubwa huko SA. Basi tu wananchi wa SA ndo wale wale wanaumizwa na ukabila.

Soma pia:
Hahahah utakuwa unaota.
Unalijua na unaujua uwezo wa SA kijeshi?
 
Back
Top Bottom