Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
- Thread starter
- #121
Imeingia siyo?πππππImeingia siyo?πππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeingia siyo?πππππImeingia siyo?πππππ
Vipi kuhusu jeshi la Tz?Kagame ana watu huko SA. AMBAYO NI KAMA STATE ILIYO FAIL. NIMEKAA MIAKA 3 SA. naifahamu. Kagame alishaingia SA. AKAUA MTU ALIYETAKA NA AKAONDOKA BILA SHIDA. ANAIJUA SA. Wewe hujui kitu.
Nimefanya kazi mataifa makubwa 7 hapa Afrika na matatu madogo ikiwemo Rwanda. Naelewa. Kwa sasa nipo MAREKANI mwaka wa ...... Huu. Kagame nafahamu kwa nini anadindisha kwa Sa. Sasa wewe sema ni kahawa. Wala sikukatazi.
Kagame atapigiwa ndani ya Kigali mpaka achakae. Mwehu na muuaji.Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri.
Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu juu kwa juu. Lakini mimi nimefanya kazi na jesh la SA. wa hovyo sana wale jamaa hawana nidhamu kabisa. Watu wa starehe kinyama. Piga sana pombe na mademu. Halafu hawataki shida.
Tofauti na M23 na Kagame.hawa jamaa ni wabishi sana. Nimeona kazi zao hasa huko maporini. SADC na MONUSCO wanapata kipigo sometimes hawaelewi wafanye nini. Wanachoka. Hali ni mbaya kwao.
Ramaphosa ni mmoja ya Maraisi Bwege sana. Ni kama tutusa tu. Ndo maana Kagame hamwogopi. Na hana uungwaji mkono mkubwa huko SA. Basi tu wananchi wa SA ndo wale wale wanaumizwa na ukabila.
Soma pia:
Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri.

Mrundi ni Counter force ya TZ ni waha wenzetu.Lakn syo kweny issue za security kufanya kaz hzo nch haimaanish unajua usalama na sr yao kagame anamuonea tu DRC ebu amjarbu Mburund
Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri.
Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu juu kwa juu. Lakini mimi nimefanya kazi na jesh la SA. wa hovyo sana wale jamaa hawana nidhamu kabisa. Watu wa starehe kinyama. Piga sana pombe na mademu. Halafu hawataki shida.
Tofauti na M23 na Kagame.hawa jamaa ni wabishi sana. Nimeona kazi zao hasa huko maporini. SADC na MONUSCO wanapata kipigo sometimes hawaelewi wafanye nini. Wanachoka. Hali ni mbaya kwao.
Ramaphosa ni mmoja ya Maraisi Bwege sana. Ni kama tutusa tu. Ndo maana Kagame hamwogopi. Na hana uungwaji mkono mkubwa huko SA. Basi tu wananchi wa SA ndo wale wale wanaumizwa na ukabila.
Soma pia:
Unajarbu kujustify vitu hata huelewi unachokiongea. Kuishi SA, Rwanda na USA it does not necessarily makes you clever. Usafananishe mtu kunyongana hotelini na vita, kwahiyo vita ikitokea Hao jamaa wa kagame South Africa watafanya nini? Kila kitu ulichosema ni story za kijiweni tu hamna valid point hata kidogo. South Africa akiamua kumshambulia Rwanda sio lazima atume wanajeshi anaweza kutuma ndege na the fact that anasupport kutoka DRC, DRC inaweza kutumika kama staging ground ya attacks kwa kutumia ndege, drones mizinga amboza SA anazo nyingi infact anatengeza mwenyewe SA haitaji kutuma jeshi la chini kumpiga Rwanda, vilevile Rwanda ni nchi ndogo sana haitachukua muda madaraja, kambi za kijeshi, airport, reserve za mafuta, mifumo ya mawasiliano na vyanzo vyote muhimu kushambuliwa. Ni vigumu Rwanda kurudisha attack South Africa sababu Hana long range missile, Hana ndege za kutosha, Hana support kutoka nchi yeyote ya SADC inayopakana na SA that he can use as a stagging ground vilevile Rwanda ni landlocked country Hana boti za kusafiri kwenda kushambulia SA. Kilichobaki ni labda terrorist attacks ambzo SA anaweza ku contains. Rwanda anapiga biti kisa anajua kwamba bunge la SA haliwezi izinisha vita, if it happens Rwanda atafurahia na mind you charter ya SADC inasema mmoja akishambuliwa wote wanaulazima kuunga mkonoKagame ana watu huko SA. AMBAYO NI KAMA STATE ILIYO FAIL. NIMEKAA MIAKA 3 SA. naifahamu. Kagame alishaingia SA. AKAUA MTU ALIYETAKA NA AKAONDOKA BILA SHIDA. ANAIJUA SA. Wewe hujui kitu.
Nimefanya kazi mataifa makubwa 7 hapa Afrika na matatu madogo ikiwemo Rwanda. Naelewa. Kwa sasa nipo MAREKANI mwaka wa ...... Huu. Kagame nafahamu kwa nini anadindisha kwa Sa. Sasa wewe sema ni kahawa. Wala sikukatazi.
Unajarbu kujustify vitu hata huelewi unachokiongea. Kuishi SA, Rwanda na USA it does not necessarily makes you the clever. Usafananishe mtu kunyongana hotelini na vita, kwahiyo vita ikitokea Hao jamaa wa kagame South Africa watafanya nini? Kila kitu ulichosema ni story za kijiweni tu hamna valid point hata kidogo. South Africa akiamua kumshambulia Rwanda sio lazima atume wanajeshi anaweza kutuma ndege na the fact that anasupport kutoka DRC, DRC inaweza kutumika kama staging ground ya attacks kwa kutumia ndege, drones mizinga amboza SA anazo nyingi infact anatengeza mwenyewe SA haitaji kutuma jeshi la chini kumpiga Rwanda, vilevile Rwanda ni nchi ndogo sana haitachukua muda madaraja, kambi za kijeshi, airport, reserve za mafuta, mifumo ya mawasiliano na vyanzo vyote muhimu kushambuliwa. Ni vigumu Rwanda kurudisha attack South Africa sababu Hana long range missile, Hana ndege za kutosha, Hana support kutoka nchi yeyote ya SADC inayopakana na SA that he can use as a stagging ground vilevile Rwanda ni landlocked country Hana boti za kusafiri kwenda kushambulia SA. Kilichobaki ni labda terrorist attacks ambzo SA anaweza ku contains. Rwanda anapiga biti kisa anajua kwamba bunge la SA haliwezi izinisha vita, if it happens Rwanda atafurahia na mind you charter ya SADC inasema mmoja akishambuliwa wote wanaulazima kuunga mkono
Banyamulenge mmejaa humu. Nyie ni jamii hatari haifai ht kuishi karibu nanyi. Mmeuana na wahutu hamjatosheka, watutsi Wana laana ya asili, siyo watu wa amaniKagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri.
Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu juu kwa juu. Lakini mimi nimefanya kazi na jesh la SA. wa hovyo sana wale jamaa hawana nidhamu kabisa. Watu wa starehe kinyama. Piga sana pombe na mademu. Halafu hawataki shida.
Tofauti na M23 na Kagame.hawa jamaa ni wabishi sana. Nimeona kazi zao hasa huko maporini. SADC na MONUSCO wanapata kipigo sometimes hawaelewi wafanye nini. Wanachoka. Hali ni mbaya kwao.
Ramaphosa ni mmoja ya Maraisi Bwege sana. Ni kama tutusa tu. Ndo maana Kagame hamwogopi. Na hana uungwaji mkono mkubwa huko SA. Basi tu wananchi wa SA ndo wale wale wanaumizwa na ukabila.
Soma pia:
Mzimbabwe tu alimnyoosha PAKA PAUL mpaka majeshi yake yakakimbilia Angola kwa msaada wa Unita.Unajarbu kujustify vitu hata huelewi unachokiongea. Kuishi SA, Rwanda na USA it does not necessarily makes you the clever. Usafananishe mtu kunyongana hotelini na vita, kwahiyo vita ikitokea Hao jamaa wa kagame South Africa watafanya nini? Kila kitu ulichosema ni story za kijiweni tu hamna valid point hata kidogo. South Africa akiamua kumshambulia Rwanda sio lazima atume wanajeshi anaweza kutuma ndege na the fact that anasupport kutoka DRC, DRC inaweza kutumika kama staging ground ya attacks kwa kutumia ndege, drones mizinga amboza SA anazo nyingi infact anatengeza mwenyewe SA haitaji kutuma jeshi la chini kumpiga Rwanda, vilevile Rwanda ni nchi ndogo sana haitachukua muda madaraja, kambi za kijeshi, airport, reserve za mafuta, mifumo ya mawasiliano na vyanzo vyote muhimu kushambuliwa. Ni vigumu Rwanda kurudisha attack South Africa sababu Hana long range missile, Hana ndege za kutosha, Hana support kutoka nchi yeyote ya SADC inayopakana na SA that he can use as a stagging ground vilevile Rwanda ni landlocked country Hana boti za kusafiri kwenda kushambulia SA. Kilichobaki ni labda terrorist attacks ambzo SA anaweza ku contains. Rwanda anapiga biti kisa anajua kwamba bunge la SA haliwezi izinisha vita, if it happens Rwanda atafurahia na mind you charter ya SADC inasema mmoja akishambuliwa wote wanaulazima kuunga mkono
Unajua hata nzi angeweza kabisa kuwa Kama nyumaKagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri.
Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu juu kwa juu. Lakini mimi nimefanya kazi na jesh la SA. wa hovyo sana wale jamaa hawana nidhamu kabisa. Watu wa starehe kinyama. Piga sana pombe na mademu. Halafu hawataki shida.
Tofauti na M23 na Kagame.hawa jamaa ni wabishi sana. Nimeona kazi zao hasa huko maporini. SADC na MONUSCO wanapata kipigo sometimes hawaelewi wafanye nini. Wanachoka. Hali ni mbaya kwao.
Ramaphosa ni mmoja ya Maraisi Bwege sana. Ni kama tutusa tu. Ndo maana Kagame hamwogopi. Na hana uungwaji mkono mkubwa huko SA. Basi tu wananchi wa SA ndo wale wale wanaumizwa na ukabila.
Soma pia:
Haamii popote, hiyo huwa ni propaganda ya Wacongo wapiganiwe vita vyao na watu wengine. Wenyewe hawana utashi wala morari kuipigania nchi yao then watuletee utapeli wao wa Kicongo eti wakimaliza Congo watavamia nchi nyingine that's bull crap, wanalea wenyewe vi-ingredients vinavyowapa Rwanda vijisababu vya kusaidia waasi then vijana wetu wakawafie wao huku wenyewe wakiwa busy na sebene huko Kinshasa.Wanamwendekeza sana huyu jamaa akitoka Congo sijui atahamia wapi.
Hivi wewe hapo ulipo na PK nani anayejua vita zaidi.π€£π€£π€£ uelewa! Lakn mkuu unajua vta kwl au unaleta maneno ya kweny kahawa
Sasa SA hataenda Goma, ataenda RwandaSA itaaibishwa sana ikiingia DRC yenyewe mazima
Maafisa wa jeshi la Rwanda uliwaona Monduli usidhani that's the only place walipo, they're everywhere. Israel wapo, UK wapo, US wapo, Uganda wapo, Kenya wapo yaani wamewekeza katika jeshi kama Tanzania ilivyokuwa enzi za Nyerere. Wao mafunzo ya mbinu, discipline na kila kitu kinachowasaidia literally katika kila nyanja hawakiachi.Wanyarwanda wamejazana kibao Munduli na vyuo vyetu vya kijeshi kufundishwa maswala ya uongozi na skills za kijeshi. Vitu vingine kama hamjui nyamazeni tu, ila hao unao wasifia ni weupe.
Sema tu nchi za Magharibi zinamlinda sababu maslahi yao DRC, maana zaidi ya asilimi sabini Cobalt inayotumika kwenye kutengeneza mabetri ya simu na magari inatokea DRC, bado kuna dhahabu, almasi,copper na madini mengine mengi.
Na kama hujui huu ugomvi Russia anataka kuununua na tayari kishatoa onyo kwa M23 na Rwanda waiache DRC na anafanya hivi kuwavurugia nchi za Magharibi hasa upande wa Cobalt,hata hao Mercenaries wapo kulinda maslahi ya nchi za Magharibi.
Mimi nilisha ongea humu zamani Rwanda wako vizuri kwenye vita hata JWTZ hawa mnao wasifu hawamuwezi Rwanda. Hivi JWTZ si wapo Congo sa wamefanya nini kuwazuia hao M23Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri.
Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu juu kwa juu. Lakini mimi nimefanya kazi na jesh la SA. wa hovyo sana wale jamaa hawana nidhamu kabisa. Watu wa starehe kinyama. Piga sana pombe na mademu. Halafu hawataki shida.
Tofauti na M23 na Kagame.hawa jamaa ni wabishi sana. Nimeona kazi zao hasa huko maporini. SADC na MONUSCO wanapata kipigo sometimes hawaelewi wafanye nini. Wanachoka. Hali ni mbaya kwao.
Ramaphosa ni mmoja ya Maraisi Bwege sana. Ni kama tutusa tu. Ndo maana Kagame hamwogopi. Na hana uungwaji mkono mkubwa huko SA. Basi tu wananchi wa SA ndo wale wale wanaumizwa na ukabila.
Soma pia:
Waha ni Kigoma huko Burundi ni Wahutu, just clarifying.Mrundi ni Counter force ya TZ ni waha wenzetu.