Unajarbu kujustify vitu hata huelewi unachokiongea. Kuishi SA, Rwanda na USA it does not necessarily makes you the clever. Usafananishe mtu kunyongana hotelini na vita, kwahiyo vita ikitokea Hao jamaa wa kagame South Africa watafanya nini? Kila kitu ulichosema ni story za kijiweni tu hamna valid point hata kidogo. South Africa akiamua kumshambulia Rwanda sio lazima atume wanajeshi anaweza kutuma ndege na the fact that anasupport kutoka DRC, DRC inaweza kutumika kama staging ground ya attacks kwa kutumia ndege, drones mizinga amboza SA anazo nyingi infact anatengeza mwenyewe SA haitaji kutuma jeshi la chini kumpiga Rwanda, vilevile Rwanda ni nchi ndogo sana haitachukua muda madaraja, kambi za kijeshi, airport, reserve za mafuta, mifumo ya mawasiliano na vyanzo vyote muhimu kushambuliwa. Ni vigumu Rwanda kurudisha attack South Africa sababu Hana long range missile, Hana ndege za kutosha, Hana support kutoka nchi yeyote ya SADC inayopakana na SA that he can use as a stagging ground vilevile Rwanda ni landlocked country Hana boti za kusafiri kwenda kushambulia SA. Kilichobaki ni labda terrorist attacks ambzo SA anaweza ku contains. Rwanda anapiga biti kisa anajua kwamba bunge la SA haliwezi izinisha vita, if it happens Rwanda atafurahia na mind you charter ya SADC inasema mmoja akishambuliwa wote wanaulazima kuunga mkono