Afrika Kusini wasijaribu kutaka kuzichapa na Rwanda. Watachakazwa vibaya sana

Umeshindwa boya wewe useless man nenda kadeki huko. Hoja huwezi, English hujui umebaki kubweka tu nyeeenyee. I am more clever than you how could I be jealous to an ignoramus like you. We Osha deki vizuri omba tu Trump asikushike. Issue complex za Rwanda na South Africa tuachie sisi wenye uelewa mkubwa. We bishana kwenye topic za fagio moja linaweza fagia umbali gani kwa saa. Ni watu wangapi wanaweza Osha vyomba vya mgahawa siku nzimaa
 
Mbona una copy message Zangu useless man
 
Wahuni tu wa SA, wale wa vikosi wakiachiwa rwanda wanaichakaza vibaya.
 
Nchi ya Rwanda ni sawa na Mkoa wa Tanga tu ,dakika 0 wanachakazwa.
 
Mfuga ng'ombe yule hana maajabu ayq mnayo mpa
 
Huyo Rais wa SA apambane na matatizo ya nchi yake yakiwemo umasikini, magonjwa, ukoswfu wa ajira, ubovu wa miondo mbinu, mauaji, ujambazi, ukosefu wa umeme nk.
 
Duh JF mna vituko.
 
Unasubiri kurudishwa maana hata miaka hujaiandika kuonesha kwamba kwa vle hatukujui unaongopea watu sijui mataifa saba sijui dah aisee watz kwa kujipakulia
 
According to the Global Firepower Index, the following African countries ranked highest at the start of 2025:
RankCountryGlobal Rank (2024)Global Rank (2025)PwrIndx Score
1Egypt15th19th0.34
2Algeria26th26th0.35
3Nigeria39th31st0.57
4South Africa33rd40th0.68
5Ethiopia49th52nd0.93
6Angola55th56th1.09
7Morocco61st59th1.12
8DR Congo73rd66th1.3
9Sudan76th73rd1.47
10Libya79th76th1.44
Although Egypt dropped slightly from 15th to 19th globally, it maintained its position as the top-ranked African nation in the Global Firepower Index.
Algeria maintained its position as 2nd in Africa and 26th globally, with a stable PowerIndex score of 0.35, reflecting consistent influence.
 
Mbona mnamkuza sana kagame, ana uwezo na mbinu gani za kuipiga south africa?
Hujagundua kitu? Sema Nchi yetu imelala sanaaa sijui tuna shida gani ila siasa ikiingia maeneo nyeti ndio hivi,,

Acha tu nikupe nyepesi, kuna watu wa propagands kutoka kule chigali kazi wameipiga kweli kweli mpaka baadhi ya Nchi kujiona si lolote si chochote

Inaonekana wakati m23 wanajiandaa kufanya manuva kitendo cha propaganda nacho kilikua kinajaza mabando ,

Ndio maana walipoishika tu Goma angalia mtiririko wa kumsifu Paka na Jeshi lake zilivyoanza , haya yote sio bahati mbaya watu wamekaa mezani
 
kama ni hivyo wanajeshi wetu walioko huko kunako vikosi vya kimataifa bora warudi nyumbani tu waache hao waasi waitwae congo yote. Sasa kama jeshi la congo ni dhaifu, la kazi gani?
 
Mda huu huko South Africa wako kwenye maonyesho ya uimara wa jeshi lao tayari kwa mapambano. Kagame ajipange, kainchi kote wanaweza wakafungiwa ndani.

Unaweza fuatilia youtube kwa kuandika maneno haya.

South African National Defence Force - Capability Demonstration!​

 
Kwamba wewe kiazi umefanya kazi na Jeshi la SA!!!?

Makalio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…