Hawezi kutishwa na ka nchi maskini hako!Ngoja uone kama Ramaphosa atatia pua yake. Si amekaribishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kutishwa na ka nchi maskini hako!Ngoja uone kama Ramaphosa atatia pua yake. Si amekaribishwa.
Umeshindwa boya wewe useless man nenda kadeki huko. Hoja huwezi, English hujui umebaki kubweka tu nyeeenyee. I am more clever than you how could I be jealous to an ignoramus like you. We Osha deki vizuri omba tu Trump asikushike. Issue complex za Rwanda na South Africa tuachie sisi wenye uelewa mkubwa. We bishana kwenye topic za fagio moja linaweza fagia umbali gani kwa saa. Ni watu wangapi wanaweza Osha vyomba vya mgahawa siku nzimaaUmeshindwa boya wewe useless man nenda kadeki huko. Hoja huwezi, English hujui umebaki kubweka tu nyeeenyee. I am more clever than you how could I be jealous to an ignoramus like you. We Osha deki vizuri omba tu Trump asikushike. Issue complex za Rwanda na South Africa tuachie sisi wenye uelewa mkubwa. We bishana kwenye topic za fagio moja linaweza fagia umbali gani kwa saa. Ni watu wangapi wanaweza Osha vyomba vya mgahawa siku nzimaa
Mbona una copy message Zangu useless manUmeshindwa boya wewe useless man nenda kadeki huko. Hoja huwezi, English hujui umebaki kubweka tu nyeeenyee. I am more clever than you how could I be jealous to an ignoramus like you. We Osha deki vizuri omba tu Trump asikushike. Issue complex za Rwanda na South Africa tuachie sisi wenye uelewa mkubwa. We bishana kwenye topic za fagio moja linaweza fagia umbali gani kwa saa. Ni watu wangapi wanaweza Osha vyomba vya mgahawa siku nzimaa
Mbona una copy message Zangu useless womanMbona una copy message Zangu useless man
Nchi ya Rwanda ni sawa na Mkoa wa Tanga tu ,dakika 0 wanachakazwa.Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri.
Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu juu kwa juu. Lakini mimi nimefanya kazi na jesh la SA. wa hovyo sana wale jamaa hawana nidhamu kabisa. Watu wa starehe kinyama. Piga sana pombe na mademu. Halafu hawataki shida.
Tofauti na M23 na Kagame.hawa jamaa ni wabishi sana. Nimeona kazi zao hasa huko maporini. SADC na MONUSCO wanapata kipigo sometimes hawaelewi wafanye nini. Wanachoka. Hali ni mbaya kwao.
Ramaphosa ni mmoja ya Maraisi Bwege sana. Ni kama tutusa tu. Ndo maana Kagame hamwogopi. Na hana uungwaji mkono mkubwa huko SA. Basi tu wananchi wa SA ndo wale wale wanaumizwa na ukabila.
Soma pia:
Mfuga ng'ombe yule hana maajabu ayq mnayo mpaKagame ana watu huko SA. AMBAYO NI KAMA STATE ILIYO FAIL. NIMEKAA MIAKA 3 SA. naifahamu. Kagame alishaingia SA. AKAUA MTU ALIYETAKA NA AKAONDOKA BILA SHIDA. ANAIJUA SA. Wewe hujui kitu.
Nimefanya kazi mataifa makubwa 7 hapa Afrika na matatu madogo ikiwemo Rwanda. Naelewa. Kwa sasa nipo MAREKANI mwaka wa ...... Huu. Kagame nafahamu kwa nini anadindisha kwa Sa. Sasa wewe sema ni kahawa. Wala sikukatazi.
Kabisa aiseeee......Huyo Rais wa SA apambane na matatizo ya nchi yake yakiwemo umasikini, magonjwa, ukoswfu wa ajira, ubovu wa miondo mbinu, mauaji, ujambazi, ukosefu wa umeme nk.
Duh JF mna vituko.Umeshindwa boya wewe useless man nenda kadeki huko. Hoja huwezi, English hujui umebaki kubweka tu nyeeenyee. I am more clever than you how could I be jealous to an ignoramus like you. We Osha deki vizuri omba tu Trump asikushike. Issue complex za Rwanda na South Africa tuachie sisi wenye uelewa mkubwa. We bishana kwenye topic za fagio moja linaweza fagia umbali gani kwa saa. Ni watu wangapi wanaweza Osha vyomba vya mgahawa siku nzimaa
Unasubiri kurudishwa maana hata miaka hujaiandika kuonesha kwamba kwa vle hatukujui unaongopea watu sijui mataifa saba sijui dah aisee watz kwa kujipakuliaKagame ana watu huko SA. AMBAYO NI KAMA STATE ILIYO FAIL. NIMEKAA MIAKA 3 SA. naifahamu. Kagame alishaingia SA. AKAUA MTU ALIYETAKA NA AKAONDOKA BILA SHIDA. ANAIJUA SA. Wewe hujui kitu.
Nimefanya kazi mataifa makubwa 7 hapa Afrika na matatu madogo ikiwemo Rwanda. Naelewa. Kwa sasa nipo MAREKANI mwaka wa ...... Huu. Kagame nafahamu kwa nini anadindisha kwa Sa. Sasa wewe sema ni kahawa. Wala sikukatazi.
According to the Global Firepower Index, the following African countries ranked highest at the start of 2025:Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri.
Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu juu kwa juu. Lakini mimi nimefanya kazi na jesh la SA. wa hovyo sana wale jamaa hawana nidhamu kabisa. Watu wa starehe kinyama. Piga sana pombe na mademu. Halafu hawataki shida.
Tofauti na M23 na Kagame.hawa jamaa ni wabishi sana. Nimeona kazi zao hasa huko maporini. SADC na MONUSCO wanapata kipigo sometimes hawaelewi wafanye nini. Wanachoka. Hali ni mbaya kwao.
Ramaphosa ni mmoja ya Maraisi Bwege sana. Ni kama tutusa tu. Ndo maana Kagame hamwogopi. Na hana uungwaji mkono mkubwa huko SA. Basi tu wananchi wa SA ndo wale wale wanaumizwa na ukabila.
Soma pia:
| Rank | Country | Global Rank (2024) | Global Rank (2025) | PwrIndx Score |
|---|---|---|---|---|
| 1 | Egypt | 15th | 19th | 0.34 |
| 2 | Algeria | 26th | 26th | 0.35 |
| 3 | Nigeria | 39th | 31st | 0.57 |
| 4 | South Africa | 33rd | 40th | 0.68 |
| 5 | Ethiopia | 49th | 52nd | 0.93 |
| 6 | Angola | 55th | 56th | 1.09 |
| 7 | Morocco | 61st | 59th | 1.12 |
| 8 | DR Congo | 73rd | 66th | 1.3 |
| 9 | Sudan | 76th | 73rd | 1.47 |
| 10 | Libya | 79th | 76th | 1.44 |
Hujagundua kitu? Sema Nchi yetu imelala sanaaa sijui tuna shida gani ila siasa ikiingia maeneo nyeti ndio hivi,,Mbona mnamkuza sana kagame, ana uwezo na mbinu gani za kuipiga south africa?
kama ni hivyo wanajeshi wetu walioko huko kunako vikosi vya kimataifa bora warudi nyumbani tu waache hao waasi waitwae congo yote. Sasa kama jeshi la congo ni dhaifu, la kazi gani?Hujagundua kitu? Sema Nchi yetu imelala sanaaa sijui tuna shida gani ila siasa ikiingia maeneo nyeti ndio hivi,,
Acha tu nikupe nyepesi, kuna watu wa propagands kutoka kule chigali kazi wameipiga kweli kweli mpaka baadhi ya Nchi kujiona si lolote si chochote
Inaonekana wakati m23 wanajiandaa kufanya manuva kitendo cha propaganda nacho kilikua kinajaza mabando ,
Ndio maana walipoishika tu Goma angalia mtiririko wa kumsifu Paka na Jeshi lake zilivyoanza , haya yote sio bahati mbaya watu wamekaa mezani
Kwamba wewe kiazi umefanya kazi na Jeshi la SA!!!?Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri.
Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu juu kwa juu. Lakini mimi nimefanya kazi na jesh la SA. wa hovyo sana wale jamaa hawana nidhamu kabisa. Watu wa starehe kinyama. Piga sana pombe na mademu. Halafu hawataki shida.
Tofauti na M23 na Kagame.hawa jamaa ni wabishi sana. Nimeona kazi zao hasa huko maporini. SADC na MONUSCO wanapata kipigo sometimes hawaelewi wafanye nini. Wanachoka. Hali ni mbaya kwao.
Ramaphosa ni mmoja ya Maraisi Bwege sana. Ni kama tutusa tu. Ndo maana Kagame hamwogopi. Na hana uungwaji mkono mkubwa huko SA. Basi tu wananchi wa SA ndo wale wale wanaumizwa na ukabila.
Soma pia:
Kama mtu unajiita MAKOJO. kweli utakuwa na kitu kichwani? Makojo?ndo wingi wa Mikojo? Hongera MAKOJO.Kwamba wewe kiazi umefanya kazi na Jeshi la SA!!!?
Makalio
Sema mpaka uwake moto!Acha kujidanganya , huyo mti mkavu atapigwa mpaka achakae.