Afrika Kusini yadaiwa kuisaidia Silaha Urusi kwenye vita ya Ukraine

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
_129699117_gettyimages-1247108263.jpg

Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini ameishutumu nchi hiyo kwa kusambaza silaha kwa Urusi licha ya kudai kutoegemea upande wowote katika vita vya Ukraine.

Reuben Brigety alidai kuwa meli ya Urusi ilisheheni risasi na silaha mjini Cape Town Desemba mwaka jana.

Ofisi ya Rais Cyril Ramaphosa ilisema imesikitishwa na madai hayo na kusema hakuna ushahidi wowote ambao umetolewa kuwaunga mkono.

Hata hivyo Serikali ya Afrika Kusini imesisitiza madai ya kutoegemea upande wowote katika uvamizi wa Ukraine.
=============

Mr Brigety said at a media briefing in Pretoria on Thursday that Washington had concerns about the country's stated non-aligned stance on the conflict.

He referred to the docking of a cargo ship in the Simon's Town naval base between 6 and 8 December last year which he was "confident" uploaded weapons and ammunition "as it made its way back to Russia".

The presence of the ship, the Lady R, had seemed curious at the time and raised questions from some local politicians.

"The arming of the Russians is extremely serious, and we do not consider this issue to be resolved," Mr Brigety said, in a damning accusation that seems to have caught South Africa's officials off guard.

In the wake of the allegations, the South African government announced the establishment of an independent inquiry led by a retired judge, a spokesman for the president's office said.

The US has been critical for months about South Africa's continued cosy relationship with Russia.

State Department deputy spokesman Vedant Patel told journalists on Thursday that the US had previously raised concerns about the Lady R with numerous South African officials.

He said the US would speak out against "any country taking steps to support Russia's illegal and brutal war in Ukraine", but would not say whether there would be any repercussions for South Africa if the claims proved to be true.

Washington has also expressed concerns about South Africa's participation in military exercises with Russia and China during the anniversary of the invasion of Ukraine.

BBC
 
Washaanza propaganda za kuiua BRICS.
 
USA asingezivamia LIBYA IRAQ SYRIA AFGHANISTAN JAPAN NK ACHA KUWAMBA NGOMA USA HANA CHOCHOTE NOW SABABU WASHIRIKA WANAMJUA MRUSI NI NANI
Mimi huwa nawashangaa sana watu msioipenda US,kwani upende usipende yeye ndio baba wa dunia!!mfano kwa sasa huo mzozo wa SUDAN,AU ipo kimya,hakuna china wala mrusi,ni US ndio ana hangaika nao, bunge la US limekuja juu kwanini ,serikali haijiingizi kusimamia makubaliano ya kusitisha vita!!jana tayari ripoti imetoka sasa hao majenerali wsnaelekea pazuri kwenye muafaka!!Kwani US akitoa sauti lazima tu uisikilize!!badaye vita ikiisha utawasikia watu,sisi wafrika tusiingiliwe tutatatua wenyewe!Ni mgogoro gani waafrika mmeweza kuutatua wenyewe tu?!
 
_129699117_gettyimages-1247108263.jpg

Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini ameishutumu nchi hiyo kwa kusambaza silaha kwa Urusi licha ya kudai kutoegemea upande wowote katika vita vya Ukraine.

Reuben Brigety alidai kuwa meli ya Urusi ilisheheni risasi na silaha mjini Cape Town Desemba mwaka jana.

Ofisi ya Rais Cyril Ramaphosa ilisema imesikitishwa na madai hayo na kusema hakuna ushahidi wowote ambao umetolewa kuwaunga mkono.

Hata hivyo Serikali ya Afrika Kusini imesisitiza madai ya kutoegemea upande wowote katika uvamizi wa Ukraine.
=============

Mr Brigety said at a media briefing in Pretoria on Thursday that Washington had concerns about the country's stated non-aligned stance on the conflict.

He referred to the docking of a cargo ship in the Simon's Town naval base between 6 and 8 December last year which he was "confident" uploaded weapons and ammunition "as it made its way back to Russia".

The presence of the ship, the Lady R, had seemed curious at the time and raised questions from some local politicians.

"The arming of the Russians is extremely serious, and we do not consider this issue to be resolved," Mr Brigety said, in a damning accusation that seems to have caught South Africa's officials off guard.

In the wake of the allegations, the South African government announced the establishment of an independent inquiry led by a retired judge, a spokesman for the president's office said.

The US has been critical for months about South Africa's continued cosy relationship with Russia.

State Department deputy spokesman Vedant Patel told journalists on Thursday that the US had previously raised concerns about the Lady R with numerous South African officials.

He said the US would speak out against "any country taking steps to support Russia's illegal and brutal war in Ukraine", but would not say whether there would be any repercussions for South Africa if the claims proved to be true.

Washington has also expressed concerns about South Africa's participation in military exercises with Russia and China during the anniversary of the invasion of Ukraine.

BBC
Dancing to the tune now
 
Aisee sikujua kama USA ni taifa dhaifu sana.
Ukraine inapewa silaha na nchi kubwa zote duniani ili kujaribu kuishinda Urusi.

Lakini USA wakihisi TU kua Urusi inapewa silaha hata na south Africa TU wanaogopa.
 
Safi sana, Mrusi aachwe ateseke mwenyewe, kataifa kokote kakijaribu kusaidia Urusi kapumuliwe na babkubwa USA.

Hata Waarabu wale wa death to America wamepiga kimya.
 
Mchina amekaa pembeni kwa swahiba wake Russia.
 
Zar imepata knock kubwa sana baada ya tangazo hili, nimezunguka sana hapa nchini je kuna mradi wowote wa kimaendeleo unaofadhiliwa na Russia 🇷🇺?,hivi hawa Russia wana shirika lolote la kusaidia maendeleo kwa third countries kama danida, sida etc etc
 
Zar imepata knock kubwa sana baada ya tangazo hili, nimezunguka sana hapa nchini je kuna mradi wowote wa kimaendeleo unaofadhiliwa na Russia [emoji635]?,hivi hawa Russia wana shirika lolote la kusaidia maendeleo kwa third countries kama danida, sida etc etc
ndio anasaidia sana kwenye majeshi hasa hapa tanzania ....au mpaka wajioneshe kwenye media na hujasikia taarifa kuwa urusi ime isamehe bara la afrika matrilioni ya pesa .........
unapotoa msaada au kukopesha
au labda angeeenda bibi siii au ci eni eni .....ndio yujue katoa msaada .....
View attachment 2619143
 
ndio anasaidia sana kwenye majeshi hasa hapa tanzania ....au mpaka wajioneshe kwenye media
Sishangai kabisa kupata jibu kama hili kutoka kwa mtu aliyelelewa na mfumo but wa kielimu, soma tena comment yangu then try to understood
 
Back
Top Bottom