Afrika Kusini yadaiwa kuisaidia Silaha Urusi kwenye vita ya Ukraine

Mimi huwa nawashangaa sana watu msioipenda US,kwani upende usipende yeye ndio baba wa dunia!!mfano kwa sasa huo mzozo wa SUDAN,AU ipo kimya,hakuna china wala mrusi,ni US ndio ana hangaika nao, bunge la US limekuja juu kwanini ,serikali haijiingizi kusimamia makubaliano ya kusitisha vita!!jana tayari ripoti imetoka sasa hao majenerali wsnaelekea pazuri kwenye muafaka!!Kwani US akitoa sauti lazima tu uisikilize!!badaye vita ikiisha utawasikia watu,sisi wafrika tusiingiliwe tutatatua wenyewe!Ni mgogoro gani waafrika mmeweza kuutatua wenyewe tu?!
boss hakuna ufalme wa wanadamu unaodumu milele
ufalme unaodumu milele ni ufalme wa MUNGU muumba mbingu na nchi so it's matter of time ufalme wa marekani utaanguka tu na kuibuka kwa tawala zingine ....bosss
sorry kama ntakuwa nimekukwaza juu ya mahaba hako kwa marekani ....[emoji849][emoji849][emoji849][emoji41][emoji41]
 
Mimi huwa nawashangaa sana watu msioipenda US,kwani upende usipende yeye ndio baba wa dunia!!mfano kwa sasa huo mzozo wa SUDAN,AU ipo kimya,hakuna china wala mrusi,ni US ndio ana hangaika nao, bunge la US limekuja juu kwanini ,serikali haijiingizi kusimamia makubaliano ya kusitisha vita!!jana tayari ripoti imetoka sasa hao majenerali wsnaelekea pazuri kwenye muafaka!!Kwani US akitoa sauti lazima tu uisikilize!!badaye vita ikiisha utawasikia watu,sisi wafrika tusiingiliwe tutatatua wenyewe!Ni mgogoro gani waafrika mmeweza kuutatua wenyewe tu?!
alagu wacha kulia lia bosss umeshajiuliza ni kwanini huu mgogoro wa sudani umeibuka ghafla
ulishawahi hata kufuatilia ni kwanini waziri sa mambo ya nje alivo maliza ziara yake sudani na kuondoka na baadae akaja waziri wa mambo ya nje wa marekani hapo sudani baadae na yeye akaondoka
ndio paka lipuka vita umesha jiuliza ?
na kwanini baada ya urusi kutangaza kujenga base ya kijeshi hapo sudani kukalipuka vita ....
 
Mimi huwa nawashangaa sana watu msioipenda US,kwani upende usipende yeye ndio baba wa dunia!!mfano kwa sasa huo mzozo wa SUDAN,AU ipo kimya,hakuna china wala mrusi,ni US ndio ana hangaika nao, bunge la US limekuja juu kwanini ,serikali haijiingizi kusimamia makubaliano ya kusitisha vita!!jana tayari ripoti imetoka sasa hao majenerali wsnaelekea pazuri kwenye muafaka!!Kwani US akitoa sauti lazima tu uisikilize!!badaye vita ikiisha utawasikia watu,sisi wafrika tusiingiliwe tutatatua wenyewe!Ni mgogoro gani waafrika mmeweza kuutatua wenyewe tu?!
Waafrika ndio maana tunadharaulika sana, hatuelewi tunataka nini au tunaelekea wapi.
Ni kulalamika, kulaumu na ushabiki hoya hoya tu. Unakuta mtu amekaza mishipa "multipolar" ukimuuliza hiyo multipolar ni nini au ina faida gani kwa Africa au Africa itakuwa na nafasi gani anabung'aa na kutoa macho tu.
 
Hahahaaa!! Super power Russia inasaidiwa na Africa.
 
Mimi huwa nawashangaa sana watu msioipenda US,kwani upende usipende yeye ndio baba wa dunia!!mfano kwa sasa huo mzozo wa SUDAN,AU ipo kimya,hakuna china wala mrusi,ni US ndio ana hangaika nao, bunge la US limekuja juu kwanini ,serikali haijiingizi kusimamia makubaliano ya kusitisha vita!!jana tayari ripoti imetoka sasa hao majenerali wsnaelekea pazuri kwenye muafaka!!Kwani US akitoa sauti lazima tu uisikilize!!badaye vita ikiisha utawasikia watu,sisi wafrika tusiingiliwe tutatatua wenyewe!Ni mgogoro gani waafrika mmeweza kuutatua wenyewe tu?!
Sasa reasoning gani hii. Kwa hiyo kwa kuwa ni baba wa dunia lazima kila mtu ampende? Simply like that? Pili usuperpower ni temporal, France alimuwa, Britain alikuwa, Austria alikuwa, USSR alikuwa.
America yupo ktk siku zake za mwisho na ndio kutapatapa huku.
 
Sauti ya US imesaidia nini Ukraine Libya, Syria, Venezuela, Palestina ?
 
Yeye kama baba anakuonya hicho unachotaka kukifanya acha,usiposikia anajua wapi ata kubana!!unafikiria bila NATO,sasa hivi putin angekuwa bado anahangaika na hiyo "operation"?? Syria huko nako ni ubabe wa alsaady kutumia silaha za chemicali kuua raia,na lile kundi la IS!!venezuera huko tatizo ni hugo chaves na siasa zake,ila kwa sasa kuna unafuu kidogo Madulo ,alishashituka,amelegeza misimamo,kuhusu palestina huo mgogoro ni wa kipekee sana,na sioni muafaka wowote kuja kupatikana kwani kuna suala la IMANI.
 
Sasa reasoning gani hii. Kwa hiyo kwa kuwa ni baba wa dunia lazima kila mtu ampende? Simply like that? Pili usuperpower ni temporal, France alimuwa, Britain alikuwa, Austria alikuwa, USSR alikuwa.
America yupo ktk siku zake za mwisho na ndio kutapatapa huku.
Unaweza niwekea miaka ya u superpower wa nchi hizo tafadhari?kwani sina kumbukumbu hizo au ,una manisha nini?US ataendelea kuwa superpower kwa miaka mingi mnooo,sio leo wala kesho!!
Ndio maana tatizo lolote kubwa linapoikumba dunia,dunia nzima inamsikiliza kwani anasemaje?!!
 
Yeye kama baba anakuonya hicho unachotaka kukifanya acha,usiposikia anajua wapi ata kubana!!unafikiria bila NATO,sasa hivi putin angekuwa bado anahangaika na hiyo "operation"?? Syria huko nako ni ubabe wa alsaady kutumia silaha za chemicali kuua raia,na lile kundi la IS!!venezuera huko tatizo ni hugo chaves na siasa zake,ila kwa sasa kuna unafuu kidogo Madulo ,alishashituka,amelegeza misimamo,kuhusu palestina huo mgogoro ni wa kipekee sana,na sioni muafaka wowote kuja kupatikana kwani kuna suala la IMANI.
So Syria America kafeli sio? Siyo yeye aliyehami the so called moderate rebels? Wako wapi sasa. Nikukumbushe tu kuwa Syria amekuwa admitted kwenye Arab league again. Pia nchi nyingi kama Si zote za kiarabu zimeanzisha upya diplomatic missions na Syria. Isingekuwa Russia Syrian ingekuwa Libya. Sasa hivi Hata waarabu hawamsikilizi hiyo bwana wenu.

Venezuela hadi walimtambua huyo mpinzani kama Rais inagwa hakuwahi kushinda uchaguzi. Walituma hadi mercineries waliokamatwa pwani baada ya kuland . Vipi walifanikiwa pamoja na mikwara yote. Russia iliingilia. Sasa wamekubali muziki.

Sasa hivi America inatembelea kivuli cha utukufu wa zamani which is doomed.
 
Unaweza niwekea miaka ya u superpower wa nchi hizo tafadhari?kwani sina kumbukumbu hizo au ,una manisha nini?US ataendelea kuwa superpower kwa miaka mingi mnooo,sio leo wala kesho!!
Ndio maana tatizo lolote kubwa linapoikumba dunia,dunia nzima inamsikiliza kwani anasemaje?!!
Umesema vema. Miaka mingi sio yote. How mingi mingi. Tumeishaanza kuona mwanzo wa mwisho.
 
_129699117_gettyimages-1247108263.jpg

Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini ameishutumu nchi hiyo kwa kusambaza silaha kwa Urusi licha ya kudai kutoegemea upande wowote katika vita vya Ukraine.

Reuben Brigety alidai kuwa meli ya Urusi ilisheheni risasi na silaha mjini Cape Town Desemba mwaka jana.

Ofisi ya Rais Cyril Ramaphosa ilisema imesikitishwa na madai hayo na kusema hakuna ushahidi wowote ambao umetolewa kuwaunga mkono.

Hata hivyo Serikali ya Afrika Kusini imesisitiza madai ya kutoegemea upande wowote katika uvamizi wa Ukraine.
=============

Mr Brigety said at a media briefing in Pretoria on Thursday that Washington had concerns about the country's stated non-aligned stance on the conflict.

He referred to the docking of a cargo ship in the Simon's Town naval base between 6 and 8 December last year which he was "confident" uploaded weapons and ammunition "as it made its way back to Russia".

The presence of the ship, the Lady R, had seemed curious at the time and raised questions from some local politicians.

"The arming of the Russians is extremely serious, and we do not consider this issue to be resolved," Mr Brigety said, in a damning accusation that seems to have caught South Africa's officials off guard.

In the wake of the allegations, the South African government announced the establishment of an independent inquiry led by a retired judge, a spokesman for the president's office said.

The US has been critical for months about South Africa's continued cosy relationship with Russia.

State Department deputy spokesman Vedant Patel told journalists on Thursday that the US had previously raised concerns about the Lady R with numerous South African officials.

He said the US would speak out against "any country taking steps to support Russia's illegal and brutal war in Ukraine", but would not say whether there would be any repercussions for South Africa if the claims proved to be true.

Washington has also expressed concerns about South Africa's participation in military exercises with Russia and China during the anniversary of the invasion of Ukraine.

BBC
Sauzi Afirika imekua dona kantre.... Ndoto za senti magufuli zinatimia
 
Zar imepata knock kubwa sana baada ya tangazo hili, nimezunguka sana hapa nchini je kuna mradi wowote wa kimaendeleo unaofadhiliwa na Russia 🇷🇺?,hivi hawa Russia wana shirika lolote la kusaidia maendeleo kwa third countries kama danida, sida etc etc
Kwanini ubongo wako unawaza kusaidiwa, kusaidiwa nasio kujiletea maendeleo yako mwenyewe kulingana na kipato chako?.
 
Back
Top Bottom