Afrika Kusini yadaiwa kuisaidia Silaha Urusi kwenye vita ya Ukraine

boss hakuna ufalme wa wanadamu unaodumu milele
ufalme unaodumu milele ni ufalme wa MUNGU muumba mbingu na nchi so it's matter of time ufalme wa marekani utaanguka tu na kuibuka kwa tawala zingine ....bosss
sorry kama ntakuwa nimekukwaza juu ya mahaba hako kwa marekani ....[emoji849][emoji849][emoji849][emoji41][emoji41]
 
alagu wacha kulia lia bosss umeshajiuliza ni kwanini huu mgogoro wa sudani umeibuka ghafla
ulishawahi hata kufuatilia ni kwanini waziri sa mambo ya nje alivo maliza ziara yake sudani na kuondoka na baadae akaja waziri wa mambo ya nje wa marekani hapo sudani baadae na yeye akaondoka
ndio paka lipuka vita umesha jiuliza ?
na kwanini baada ya urusi kutangaza kujenga base ya kijeshi hapo sudani kukalipuka vita ....
 
Waafrika ndio maana tunadharaulika sana, hatuelewi tunataka nini au tunaelekea wapi.
Ni kulalamika, kulaumu na ushabiki hoya hoya tu. Unakuta mtu amekaza mishipa "multipolar" ukimuuliza hiyo multipolar ni nini au ina faida gani kwa Africa au Africa itakuwa na nafasi gani anabung'aa na kutoa macho tu.
 
Hahahaaa!! Super power Russia inasaidiwa na Africa.
 
Sasa reasoning gani hii. Kwa hiyo kwa kuwa ni baba wa dunia lazima kila mtu ampende? Simply like that? Pili usuperpower ni temporal, France alimuwa, Britain alikuwa, Austria alikuwa, USSR alikuwa.
America yupo ktk siku zake za mwisho na ndio kutapatapa huku.
 
Sauti ya US imesaidia nini Ukraine Libya, Syria, Venezuela, Palestina ?
 
Sauti ya US imesaidia nini Ukraine Libya, Syria, Venezuela, Palestina ?
Yeye kama baba anakuonya hicho unachotaka kukifanya acha,usiposikia anajua wapi ata kubana!!unafikiria bila NATO,sasa hivi putin angekuwa bado anahangaika na hiyo "operation"?? Syria huko nako ni ubabe wa alsaady kutumia silaha za chemicali kuua raia,na lile kundi la IS!!venezuera huko tatizo ni hugo chaves na siasa zake,ila kwa sasa kuna unafuu kidogo Madulo ,alishashituka,amelegeza misimamo,kuhusu palestina huo mgogoro ni wa kipekee sana,na sioni muafaka wowote kuja kupatikana kwani kuna suala la IMANI.
 
Unaweza niwekea miaka ya u superpower wa nchi hizo tafadhari?kwani sina kumbukumbu hizo au ,una manisha nini?US ataendelea kuwa superpower kwa miaka mingi mnooo,sio leo wala kesho!!
Ndio maana tatizo lolote kubwa linapoikumba dunia,dunia nzima inamsikiliza kwani anasemaje?!!
 
So Syria America kafeli sio? Siyo yeye aliyehami the so called moderate rebels? Wako wapi sasa. Nikukumbushe tu kuwa Syria amekuwa admitted kwenye Arab league again. Pia nchi nyingi kama Si zote za kiarabu zimeanzisha upya diplomatic missions na Syria. Isingekuwa Russia Syrian ingekuwa Libya. Sasa hivi Hata waarabu hawamsikilizi hiyo bwana wenu.


Venezuela hadi walimtambua huyo mpinzani kama Rais inagwa hakuwahi kushinda uchaguzi. Walituma hadi mercineries waliokamatwa pwani baada ya kuland . Vipi walifanikiwa pamoja na mikwara yote. Russia iliingilia. Sasa wamekubali muziki.

Sasa hivi America inatembelea kivuli cha utukufu wa zamani which is doomed.
 
Umesema vema. Miaka mingi sio yote. How mingi mingi. Tumeishaanza kuona mwanzo wa mwisho.
 
Sauzi Afirika imekua dona kantre.... Ndoto za senti magufuli zinatimia
 
Kwanini ubongo wako unawaza kusaidiwa, kusaidiwa nasio kujiletea maendeleo yako mwenyewe kulingana na kipato chako?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…