Afrika mashariki na afrika kwa ujumla Tanzania kuongoza kuwa na reli ya kisasa ya umeme.

1. Currently Tanzania consumes less electricity than Kenya.

2. Despite consuming less than Kenya, Tanzania still encounters way more blackouts than Kenya.

Any smart person can judge from the points above that Tanzania is far from having an electric train. Even for Kenya it was not possible though we have it in future plans. You guys need to stop listening to politicians. Hii mambo yenu ya tuta-, tunge- itabidi muachane nayo. Honestly there's almost zero chance that your stations will be anything close to our stations for the start. All I see is a huge disappointment amongst you folks considering how eager you are to beat Kenya who's dream is already actualized and though some people are not happy with the quality of our trains, everyone agrees that our stations are among the best in the world.
 
Mpuuzi ww
 
Kwikwikwikwikwi. Wazee wa takwimu mpo?
 
Raha yetu Tanzania tunajitekenyaga na kucheka wenyewe, kutokutoka nje kumefanya kila kitu tunasema Africa Mashariki na kati wakati tunachowazidi wenzetu sisi ni Lugha ya Kiswahili tu
Kwikwikwikwi. Wenzenu na nani?
Wewe umeenda kericho tokea mabwepande ndio unasema umetembea!!!? Kwikwikwi!!!
 
Halafu inaelekea Mwanza na siyo kigoma? Dar Mwanza kuna barabara ya Lami, Kigoma ambapo hakuna lami kutoka Dar imeachwa hoi, mpaka aje Raisi kutoka kigoma ndo itajengwa? Haya bwana...
Soma melezo vizuri acha uvivu. Hivi unaijua reli ya kati wewe?
Reli inaenda:-
Mwanza
Kigoma
Burundi
Rwanda

Uweunasoma sio kuropoka ropoka.
 
Hii ndo inaitwaga ,"alternative facts".

Treni ya umeme kwa hizi megawat zetu 900 is a dream.

Na kama main target ni kusafirisha mizigo,train ya umeme haitaweza kwani mara nyingi diesel train ndo hutumika kwa shughuli hizo,
bullet train ni kwa ajili ya abiria labda na vipacel tu,this is as far as i understant
 
Kwikwikwikwi. Wenzenu na nani?
Wewe umeenda kericho tokea mabwepande ndio unasema umetembea!!!? Kwikwikwi!!!
Alipojuja Kibaki kuaga Tanzania alituasa sana kwa sauti yake "Ninyi watanzania mpende pia kutoka muone wenzenu nchi jirani wanafanya nini sio kukaa pwani pwani tu " Ukimsikiliza Mbongo utasikitika anajua Dar ndio bora, Tanzania ndio kisiwa cha Amani, anajua ndio nchi Tajiri, akifika tu hapo Kericho anashindwa hata kusalimiana
 
Nilijua ni matamko kumbe ni kweli !!!

Haya kila la kheri watanzania ila wakaze vizuri mataluma maana biashara ya vyuma chakavu inakuja kasi sana
 
Alipojuja Kibaki kuaga Tanzania alituasa sana kwa sauti yake "Ninyi watanzania mpende pia kutoka muone wenzenu nchi jirani wanafanya nini sio kukaa pwani pwani tu " Ukimsikiliza Mbongo utasikitika anajua Dar ndio bora, Tanzania ndio kisiwa cha Amani, anajua ndio nchi Tajiri, akifika tu hapo Kericho anashindwa hata kusalimiana
Wewe Mkenya hebu toa ifinyu wako wa mawazo hapa. Kibaki is who in our country?
Kibaki anaheshima kwenu sio kwetu. Kwikwikwikwi unadhani watanzania wanalevel za kwenu huko kenya?
Kwikwikwikwi!! unanifanya nicheke sana. Yaani nyie wakenya huwa mnanichekesha sana mnapoenda toilet kwikwikwikwi.

Tunarudi kwenye mada sasa Tanzania inajenga reli ya kisasa ya kutumia umeme.
 
Hii ndo inaitwaga ,"alternative facts".

Treni ya umeme kwa hizi megawat zetu 900 is a dream.

Na kama main target ni kusafirisha mizigo,train ya umeme haitaweza kwani mara nyingi diesel train ndo hutumika kwa shughuli hizo,
bullet train ni kwa ajili ya abiria labda na vipacel tu,this is as far as i understant
Hujui Kinyerezi II na Kinyerezi III zinaisha sio muda mrefu!!? Unadhani wewe unaakili saaaaaana kuliko ma engineers walio plan? Au ndio ule ulimbukeni wa kujifanya unajua vitu kumbe ni hopeless!!?
 
kwani watu wamefyatu au vipi. did you guys suddenly lost your memory.... ati mtakua first in Africa? reaaly

treni ya ethiopia imeshajengwa, ni ya stima na inasonga kwa average ya 160km/h ya abiria.

treni za tz bado ziko kwa ndoto, anyway, pia hizo kama zitaekwa stima zitaenda kama za ethiopia at 160km/hr
treni za kenya zimeanza kuwasili, zinatumia diesel, zinasonga avg ya 120km/h ... hio tofauti ni ndogo sana ukilinganisha cost of electric consumption itakayi hitajika ukilinganisha diesel consuption....

Alafu isitoshe kenya badae inapanga kueka umeme, tukishaweka umeme, reli za kenya za abiria zitakua zibasonga kwa kasi ya 240km/hr ..... kwahivyo you can all piss off in advance!!!!
 
😛Zitakua zinasonga alafu nani anapakua?? 😛

Kiswahili cha kenya ni comedy tupu

Kwikwikwikwikwi. Yaani raha sana. Tunawachapa viboko vya matakoni taratibu. Mkiwa nayo ya 240km/hr sisi itakuwa ni Jet engine train.
 
AnkaraKonya.jpg
Kampuni zilizotiliana saini makubaliano hayo na Serikali ni ya ubia kati ya YAPI MERKEZI ya uturuki na MOTA-ENGIL AFRIKA ya ureno kwa grahama ya dola zaidi ya bilioni moja za kimarekani.

Akishuhudia utiliaji saini uliofanyika jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema ujenzi wa reli hiyo itayotumia umeme na kwenda kwa spidi ya kilometa 160 kwa saa itakuwa ni ya kwanza kwa Afrika ikifuatiwa na nchi ya Morocco.

“Tunataka kuifanya nchi yetu iwe ndogo kwa kutumia miundombinu ya kisasa ndio maana Serikali imeamua kujenga reli hii itakayotumia umeme na kwenda spidi kubwa kuliko nyingine zote barani Afrika”, amesema Prof. Mbarawa.

Ameongeza kuwa ujenzi wa reli hiyo utaongeza chachu ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi na kubainisha kuwa Safari ya Dar hadi Moro itatumia muda wa saa 1:16 wakati Dar hadi Dodoma itatumia muda wa saa 2:30 na safari ya Dar had Mwanza itatumia muda wa saa 7:30.
train-jpg.466922

Aidha, Prof. Mbarawa amesisitiza kuwa gharama za ujenzi wa reli hiyo haitakuwa sawa na mikoa mingine kutokana na kutofautiana na hali ya jiografiia kwenye mikoa ambapo reli hiyo itapita.

Kuhusu kukamilisha mradi huu, Waziri Prof. Mbarawa ameahidi kuongeza bajeti ya ujenzi wa reli hiyo kwa mwaka ujao wa fedha na kuendelea kutafuta mkopo wa gharama nafuu ili kufanikisha ukamilishawaji wake.

Waziri Prof. Mbarawa amewataka wadau kujitokeza kwa wingi kuomba zabuni zIlizotangazwa hivi karibuni za ujenzi wa reli hiyo kwa awamu nyingine kutoka Morogoro-Makotopora KM 336, Makotopora-Tabora KM 294, Tabora-Isaka KM 133 na Isaka hadi Mwanza KM 248 ambazo zinatarajiwa kufunguliwa mwezi Aprili mwaka huu na kuahidi kuwa utaratibu wake utatendeka kwa uwazi na haki.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Masanja Kadogosa amesema kuwa ujenzi wa reli hiyo utajengwa kwa muda wa miezi 30 kutokea sasa na kuhusisha ujenzi wa miundombinu ya umeme, Stesheni sita za abiria na sita za kupishani treni na ujenzi wa wigo wa KM 102 kwa usalama wa watu na magari.

Kwa upande wake Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yassemin Eralp ameiahidi kuendeleza ushirikiano na Serikali katika mradi huo mkubwa na kuupongeza uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano katika kufanikisha maendeleo kwa wananchi wake.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Ndoto za alinacha
 
Back
Top Bottom