Afrika mashariki na afrika kwa ujumla Tanzania kuongoza kuwa na reli ya kisasa ya umeme.

Afrika mashariki na afrika kwa ujumla Tanzania kuongoza kuwa na reli ya kisasa ya umeme.

Sasa what is this !!! Kwanza annael kaanza kusema ati Tanzanai ka ipita kenya kwa ppp (fake news )sasa redeemer ana jadili vitu ambavyo havijaundwa [emoji23][emoji23][emoji23]endeleeni kuota !wtf
 
Sasa what is this !!! Kwanza annael kaanza kusema ati Tanzanai ka ipita kenya kwa ppp (fake news )sasa redeemer ana jadili vitu ambavyo havijaundwa [emoji23][emoji23][emoji23]endeleeni kuota !wtf
Kwikwikwikwikwi!!!. Nakuona unahasira sana na Tanzania baada ya demu wenu kupigwa vibaya AU.
 
typical tanzanian vocabulary -tuta fanya hii, tuta ongoza, tutajenga ,tutapanga , tuta wapita ,mtaisoma namba

mumejenga hii railway yenu hapa jf tangu 2014 yet we never see action on ground,, kama ile bagamoyo port
why dont you wait till you see something tangible on ground then you can start yapping.
Wacha mboyo wewe! Yaani kitu kianze kujengwa with no plans..?

How do you plan bila kuongea?
 
Annael ...I really thought you are wiser than this ...nlikuwa na kuheshimu kama Geza ulole but off late umashida akilini ...
Even me ninakuheshimu kama ninavyomuheshimu Uhuru Kenyata. So tukiwa kwenye topic fulani tuengelee hiyo topic. Ilikuwa message tu uelewe. Tukianza kuhamisha magoli wmisho wake mada itapotea. Wewe tuongelee hili la Tanzania kujenga Reli ndeeeeeeefu ya kutumia umeme. zaidi ya kilomita 1200. Wewe unasemaje hapo?
 
Achaneni na huyo mtoto wa katibu mtendaji kata Annael,
yaani yeye ni kusifu na kuabudu tu,hana hata reasoning..

Huo mradi labda miaka 15 ijayo sio wa leo huo,
Kwikwikwikwi. Wewe mtoto wa nani? au mtoto wa Mr Sugu?
 
Hujui Kinyerezi II na Kinyerezi III zinaisha sio muda mrefu!!? Unadhani wewe unaakili saaaaaana kuliko ma engineers walio plan? Au ndio ule ulimbukeni wa kujifanya unajua vitu kumbe ni hopeless!!?
Usibishane na bogaz
 
Wewe Mkenya hebu toa ifinyu wako wa mawazo hapa. Kibaki is who in our country?
Kibaki anaheshima kwenu sio kwetu. Kwikwikwikwi unadhani watanzania wanalevel za kwenu huko kenya?
Kwikwikwikwi!! unanifanya nicheke sana. Yaani nyie wakenya huwa mnanichekesha sana mnapoenda toilet kwikwikwikwi.

Tunarudi kwenye mada sasa Tanzania inajenga reli ya kisasa ya kutumia umeme.
Vingapi vimesemwa vikafanyika Tanzania
 
Alafu isitoshe kenya badae inapanga kueka umeme, tukishaweka umeme, reli za kenya za abiria zitakua zibasonga kwa kasi ya 240km/hr ..... kwahivyo you can all piss off in advance!!!!
 
Treni ya 240 km/hr kwa reli ipi?? Ile mliyopigwa mchana kweupe na wachina.. I doubt kama inaweza hata kusukuma 180.
 
1. Currently Tanzania consumes less electricity than Kenya.

2. Despite consuming less than Kenya, Tanzania still encounters way more blackouts than Kenya.

Any smart person can judge from the points above that Tanzania is far from having an electric train. Even for Kenya it was not possible though we have it in future plans. You guys need to stop listening to politicians. Hii mambo yenu ya tuta-, tunge- itabidi muachane nayo. Honestly there's almost zero chance that your stations will be anything close to our stations for the start. All I see is a huge disappointment amongst you folks considering how eager you are to beat Kenya who's dream is already actualized and though some people are not happy with the quality of our trains, everyone agrees that our stations are among the best in the world.



Pole sana
kajinyonge Sisi tumeamua
haikuhusu
 
kwani watu wamefyatu au vipi. did you guys suddenly lost your memory.... ati mtakua first in Africa? reaaly

treni ya ethiopia imeshajengwa, ni ya stima na inasonga kwa average ya 160km/h ya abiria.


treni za tz bado ziko kwa ndoto, anyway, pia hizo kama zitaekwa stima zitaenda kama za ethiopia at 160km/hr
treni za kenya zimeanza kuwasili, zinatumia diesel, zinasonga avg ya 120km/h ... hio tofauti ni ndogo sana ukilinganisha cost of electric consumption itakayi hitajika ukilinganisha diesel consuption....

Alafu isitoshe kenya badae inapanga kueka umeme, tukishaweka umeme, reli za kenya za abiria zitakua zibasonga kwa kasi ya 240km/hr ..... kwahivyo you can all piss off in advance!!!!

Hahaha kimekuuma!!!
itakuwa!!
hapo baadae!!!
pole sana
 
Everyone is eager to see train speeding at 160km/hr ..

But i will suggest Gvt to have power problems sorted out first rather than rushing to a multi-million project without reliable power...


How will it operate with persistent black out ??
Ushawahi kusikia umeme umekatika ikulu?Muhimbili hospital?Basi hii nayo itapewa special line yake.[emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom