Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Kabla mjenge miundo mbinu ya umeme, ndio mjenge reli, hiyo itakuwa 2030Stima huku inaitwa umeme.. ukiwa kwenye jukwaa la waTanzania andika Kiswahili cha waTanzania..
Kingine. Muweke umeme kwenye treni zenu au msiweke hiyo ni shauri yenu, gesi yetu inatosha kabisa kuzalisha umeme wa kuendesha hizo treni ndio maana tumeamua kuweka miundombinu ya umeme kabisa.. hao wanasiasa wenu wanajiandaa kuwapiga tena kwenye hiyo kandarasi ya treni za umeme.. kaeni macho.