Afrika mashariki na afrika kwa ujumla Tanzania kuongoza kuwa na reli ya kisasa ya umeme.

Afrika mashariki na afrika kwa ujumla Tanzania kuongoza kuwa na reli ya kisasa ya umeme.

Kama Airline iliwashinda mtaweza Trains?? Smh

Tutangoja 2030 Kenya Railway itanunua majority stake Tanzania Rail juu mturuki atashindwa kuwa chungia
Kwikwikwikwi. Baada ya kuiba ndege za EAC ndio mnajifanya wajuaji!!? Hivi unajua ilipokuwa EAC mlitapel ndege za shirika la ndege EAC!!? Kwikwikwikwi. Subiri viboko vikuingie vizuri.
 
Mkuu wacha1:

The project is about to commence while we are still pushing ourself out of black out!

Remember the incidence of short circuit to Ubungo power plant 2 weeks ago?

All the places connected to National Electrical Grid system had no power..except mtwara region?

We need to put all infrastructure on track before the project commence.

Otherwise , iko siku watu watalala porini
You need to update yourself with other projects which are being undertaken, simultaneously the power problem will be history. Teething problems cannot delay other projects which JPM has given priority in order to stimulate the sleeping giant of Africa.

BTW Stop rumour mongering.
 
Naona hili swala la umeme (stima kwa majirani) limewashika wakenya pabaya. Treni za umeme zitakuja kabla ya Kenya, na zitatumia umeme unaozalisha maalum kwaajili ya hizo treni tu. Gasi, makaa ya mawe tunayo ya kututosha kwa zaidi ya miaka 100 au zaidi, kwasababu kila Mara tumavumbuwa gesi mpya na makaa mapya.
 
Hivi wajapan hiyo treni watakayozindua mwakani ya 500kmh ikoikoje
 
Kwikwikwikwikwi. Yaani raha sana. Tunawachapa viboko vya matakoni taratibu. Mkiwa nayo ya 240km/hr sisi itakuwa ni Jet engine train.
kwikwi mwenyewe, hapa hakuna watoto wadogo wanaoshindana kimaneno na kijenga nyumba za makaratasi.........
zenu mmeshaambiwa mkieka umeme zinaenda na speed ya 160km/hr hata haziko mbali na zetu za diesel.....
sisis phase one ikishakamilika tunaanza mipango ya kueka umeme sasa vile tutakua na umeme wa kutosha na speed yetu itakua 240km/hr ...... baada ya stima yenu ya 160km/hr hakuna mahali kwengine mtaendeleza...mtabaki hapo hapo mpaka mwaka 2100
 
Hivi treni ya umeme na umeme huu wa magumashi itawezekana kweli?
Hali ya umeme imearika sana siku za karibuni, sio kama kipindi cha JK, though still kuna mapungufu kwenye usambazaji kwa kuwa miundombinu ilikuwa imechoka. Awamu ya nne ilijitahidi sana kurekebisha na kuiboresha miundombinu na awamu hii uzalishaji umeimarika sana.

Kwa kawaida miezi hii yenye jua kali enzi zile umeme ulikuwa ni majanga.
 
kwikwi mwenyewe, hapa hakuna watoto wadogo wanaoshindana kimaneno na kijenga nyumba za makaratasi.........
zenu mmeshaambiwa mkieka umeme zinaenda na speed ya 160km/hr hata haziko mbali na zetu za diesel.....
sisis phase one ikishakamilika tunaanza mipango ya kueka umeme sasa vile tutakua na umeme wa kutosha na speed yetu itakua 240km/hr ...... baada ya stima yenu ya 160km/hr hakuna mahali kwengine mtaendeleza...mtabaki hapo hapo mpaka mwaka 2100
Yaani unapenda kunichekesha sana. Zenu za sasa ni mwendo wa kinyonga 90KM/hr - 100KM/hr
Speed hiyo ya 240km/hr kwa reli hiyo yenye kona za 90 degree.Yaani unanichekesha sana. Nakwambia hivi sikiliza kwa makini mkiwa na hiyo ya 240km/hr sisi tutakuwa na train ya jet engine.
 
AnkaraKonya.jpg
Kampuni zilizotiliana saini makubaliano hayo na Serikali ni ya ubia kati ya YAPI MERKEZI ya uturuki na MOTA-ENGIL AFRIKA ya ureno kwa grahama ya dola zaidi ya bilioni moja za kimarekani.

Akishuhudia utiliaji saini uliofanyika jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema ujenzi wa reli hiyo itayotumia umeme na kwenda kwa spidi ya kilometa 160 kwa saa itakuwa ni ya kwanza kwa Afrika ikifuatiwa na nchi ya Morocco.

“Tunataka kuifanya nchi yetu iwe ndogo kwa kutumia miundombinu ya kisasa ndio maana Serikali imeamua kujenga reli hii itakayotumia umeme na kwenda spidi kubwa kuliko nyingine zote barani Afrika”, amesema Prof. Mbarawa.

Ameongeza kuwa ujenzi wa reli hiyo utaongeza chachu ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi na kubainisha kuwa Safari ya Dar hadi Moro itatumia muda wa saa 1:16 wakati Dar hadi Dodoma itatumia muda wa saa 2:30 na safari ya Dar had Mwanza itatumia muda wa saa 7:30.
train-jpg.466922


Aidha, Prof. Mbarawa amesisitiza kuwa gharama za ujenzi wa reli hiyo haitakuwa sawa na mikoa mingine kutokana na kutofautiana na hali ya jiografiia kwenye mikoa ambapo reli hiyo itapita.

Kuhusu kukamilisha mradi huu, Waziri Prof. Mbarawa ameahidi kuongeza bajeti ya ujenzi wa reli hiyo kwa mwaka ujao wa fedha na kuendelea kutafuta mkopo wa gharama nafuu ili kufanikisha ukamilishawaji wake.

Waziri Prof. Mbarawa amewataka wadau kujitokeza kwa wingi kuomba zabuni zIlizotangazwa hivi karibuni za ujenzi wa reli hiyo kwa awamu nyingine kutoka Morogoro-Makotopora KM 336, Makotopora-Tabora KM 294, Tabora-Isaka KM 133 na Isaka hadi Mwanza KM 248 ambazo zinatarajiwa kufunguliwa mwezi Aprili mwaka huu na kuahidi kuwa utaratibu wake utatendeka kwa uwazi na haki.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Masanja Kadogosa amesema kuwa ujenzi wa reli hiyo utajengwa kwa muda wa miezi 30 kutokea sasa na kuhusisha ujenzi wa miundombinu ya umeme, Stesheni sita za abiria na sita za kupishani treni na ujenzi wa wigo wa KM 102 kwa usalama wa watu na magari.

Kwa upande wake Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yassemin Eralp ameiahidi kuendeleza ushirikiano na Serikali katika mradi huo mkubwa na kuupongeza uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano katika kufanikisha maendeleo kwa wananchi wake.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

ethiopia eastern africa-kama kweli mtaijenga hiyo reli na sio story za gongo nyie sio wa kwanza wala mwisho!!!

wJRPbB6.jpg


942TADP.jpg


Night Views
e4dKOcZ.jpg


hBlzNKV.jpg


xS9RVEN.jpg


sJB2V3Q.jpg


vwC32rk.jpg


MS2LOc8.jpg


i1elZOl.jpg
 
ethiopia eastern africa-kama kweli mtaijenga hiyo reli na sio story za gongo nyie sio wa kwanza wala mwisho!!!

wJRPbB6.jpg


942TADP.jpg


Night Views
e4dKOcZ.jpg


hBlzNKV.jpg


xS9RVEN.jpg


sJB2V3Q.jpg


vwC32rk.jpg


MS2LOc8.jpg


i1elZOl.jpg
Mbona unaweweseka sana? Kila kona mnapigwa.
Na baada ya muda uganda watagoma kupitia kwenu huko. Tanzania Oyeeee!! Kenya Hoiiiii!!!
 
"kuwa chungia" uliambiwa ni ng'ombe porini au mbuzi?? 😀😀😀😛
Kama Airline iliwashinda mtaweza Trains?? Smh

Tutangoja 2030 Kenya Railway itanunua majority stake Tanzania Rail juu mturuki atashindwa kuwa chungia
 
1. Currently Tanzania consumes less electricity than Kenya.

2. Despite consuming less than Kenya, Tanzania still encounters way more blackouts than Kenya.

Any smart person can judge from the points above that Tanzania is far from having an electric train. Even for Kenya it was not possible though we have it in future plans. You guys need to stop listening to politicians. Hii mambo yenu ya tuta-, tunge- itabidi muachane nayo. Honestly there's almost zero chance that your stations will be anything close to our stations for the start. All I see is a huge disappointment amongst you folks considering how eager you are to beat Kenya who's dream is already actualized and though some people are not happy with the quality of our trains, everyone agrees that our stations are among the best in the world.
Brazil, Tanzania in power planning talks
By Michael Place - Friday, February 3, 2017
Government officials from Tanzania and Brazil have met to discuss power sector planning and regulations. A Tanzanian delegation visited Brazil's mining and ...

Subscriber-Only Content
BNamericas develops thousands of news articles, analyses and features every month, always concentrating on how to make or save money in Latin American business.

  • Unique Content
    Up-to-the-minute and field-proven industry news in English and Spanish
  • Insight
    Constantly looking ahead to help the client better understand the future of the market
  • Efficient Products
    Receive emails and alerts; follow companies and projects that matter to you
  • Ask Us
    Access our on-the-ground expert team
Email address
Already a subscriber? Please, login

This news article is one of hundreds published daily by Business News Americas about the commodities, markets, movements, companies, projects, economics and politics integral to the development of Latin America. Including news and insight from South America, Central America and the Caribbean, BNamericas includes insight and forecasts for business opportunities in Mexico. The business development service focuses on major projects, active companies, such as and business and sales contacts, providing networking opportunities with leading executives throughout Latin America.

https://www.bnamericas.com/en/news/electricpower/brazil-tanzania-in-power-planning-talks/
 
Back
Top Bottom