LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Kuna Wakenya wanakielewa Kiswahili kuwaliko. ππRaha yetu Tanzania tunajitekenyaga na kucheka wenyewe, kutokutoka nje kumefanya kila kitu tunasema Africa Mashariki na kati wakati tunachowazidi wenzetu sisi ni Lugha ya Kiswahili tu
Time will tell.....Still produces more electricity fool
Mturuki anawaundia reli ya 1.1bn$
Smh
Mtapata kweli hata stations ama ni reli pekee wanaunda ....mtakuwa mna mwagwa kando ya Barabara wakenya meanwhile tunaanda treni Nairobi hapa
View attachment 467115
Tuna pata pumziko hapa
View attachment 467116
Tuna Shukia Mombasa
View attachment 467117
Kwikwikwikwi. Baada ya kuiba ndege za EAC ndio mnajifanya wajuaji!!? Hivi unajua ilipokuwa EAC mlitapel ndege za shirika la ndege EAC!!? Kwikwikwikwi. Subiri viboko vikuingie vizuri.Kama Airline iliwashinda mtaweza Trains?? Smh
Tutangoja 2030 Kenya Railway itanunua majority stake Tanzania Rail juu mturuki atashindwa kuwa chungia
You need to update yourself with other projects which are being undertaken, simultaneously the power problem will be history. Teething problems cannot delay other projects which JPM has given priority in order to stimulate the sleeping giant of Africa.Mkuu wacha1:
The project is about to commence while we are still pushing ourself out of black out!
Remember the incidence of short circuit to Ubungo power plant 2 weeks ago?
All the places connected to National Electrical Grid system had no power..except mtwara region?
We need to put all infrastructure on track before the project commence.
Otherwise , iko siku watu watalala porini
kwikwi mwenyewe, hapa hakuna watoto wadogo wanaoshindana kimaneno na kijenga nyumba za makaratasi.........Kwikwikwikwikwi. Yaani raha sana. Tunawachapa viboko vya matakoni taratibu. Mkiwa nayo ya 240km/hr sisi itakuwa ni Jet engine train.
Hali ya umeme imearika sana siku za karibuni, sio kama kipindi cha JK, though still kuna mapungufu kwenye usambazaji kwa kuwa miundombinu ilikuwa imechoka. Awamu ya nne ilijitahidi sana kurekebisha na kuiboresha miundombinu na awamu hii uzalishaji umeimarika sana.Hivi treni ya umeme na umeme huu wa magumashi itawezekana kweli?
Yaani unapenda kunichekesha sana. Zenu za sasa ni mwendo wa kinyonga 90KM/hr - 100KM/hrkwikwi mwenyewe, hapa hakuna watoto wadogo wanaoshindana kimaneno na kijenga nyumba za makaratasi.........
zenu mmeshaambiwa mkieka umeme zinaenda na speed ya 160km/hr hata haziko mbali na zetu za diesel.....
sisis phase one ikishakamilika tunaanza mipango ya kueka umeme sasa vile tutakua na umeme wa kutosha na speed yetu itakua 240km/hr ...... baada ya stima yenu ya 160km/hr hakuna mahali kwengine mtaendeleza...mtabaki hapo hapo mpaka mwaka 2100
Kampuni zilizotiliana saini makubaliano hayo na Serikali ni ya ubia kati ya YAPI MERKEZI ya uturuki na MOTA-ENGIL AFRIKA ya ureno kwa grahama ya dola zaidi ya bilioni moja za kimarekani.
Akishuhudia utiliaji saini uliofanyika jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema ujenzi wa reli hiyo itayotumia umeme na kwenda kwa spidi ya kilometa 160 kwa saa itakuwa ni ya kwanza kwa Afrika ikifuatiwa na nchi ya Morocco.
βTunataka kuifanya nchi yetu iwe ndogo kwa kutumia miundombinu ya kisasa ndio maana Serikali imeamua kujenga reli hii itakayotumia umeme na kwenda spidi kubwa kuliko nyingine zote barani Afrikaβ, amesema Prof. Mbarawa.
Ameongeza kuwa ujenzi wa reli hiyo utaongeza chachu ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi na kubainisha kuwa Safari ya Dar hadi Moro itatumia muda wa saa 1:16 wakati Dar hadi Dodoma itatumia muda wa saa 2:30 na safari ya Dar had Mwanza itatumia muda wa saa 7:30.
Aidha, Prof. Mbarawa amesisitiza kuwa gharama za ujenzi wa reli hiyo haitakuwa sawa na mikoa mingine kutokana na kutofautiana na hali ya jiografiia kwenye mikoa ambapo reli hiyo itapita.
Kuhusu kukamilisha mradi huu, Waziri Prof. Mbarawa ameahidi kuongeza bajeti ya ujenzi wa reli hiyo kwa mwaka ujao wa fedha na kuendelea kutafuta mkopo wa gharama nafuu ili kufanikisha ukamilishawaji wake.
Waziri Prof. Mbarawa amewataka wadau kujitokeza kwa wingi kuomba zabuni zIlizotangazwa hivi karibuni za ujenzi wa reli hiyo kwa awamu nyingine kutoka Morogoro-Makotopora KM 336, Makotopora-Tabora KM 294, Tabora-Isaka KM 133 na Isaka hadi Mwanza KM 248 ambazo zinatarajiwa kufunguliwa mwezi Aprili mwaka huu na kuahidi kuwa utaratibu wake utatendeka kwa uwazi na haki.
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Masanja Kadogosa amesema kuwa ujenzi wa reli hiyo utajengwa kwa muda wa miezi 30 kutokea sasa na kuhusisha ujenzi wa miundombinu ya umeme, Stesheni sita za abiria na sita za kupishani treni na ujenzi wa wigo wa KM 102 kwa usalama wa watu na magari.
Kwa upande wake Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yassemin Eralp ameiahidi kuendeleza ushirikiano na Serikali katika mradi huo mkubwa na kuupongeza uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano katika kufanikisha maendeleo kwa wananchi wake.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mbona unaweweseka sana? Kila kona mnapigwa.ethiopia eastern africa-kama kweli mtaijenga hiyo reli na sio story za gongo nyie sio wa kwanza wala mwisho!!!
Night Views
How
Mna confuse Tram na Railways
Smh am all for this news but Ethiopias passenger Rail inakaa hivi
View attachment 467092
View attachment 467094
Kenya passenger Rail inakaa hivi
View attachment 467095View attachment 467096View attachment 467097View attachment 467099
Muache kusambaza Rumours Kenyas Freight train ndio zina sura mbaya lakini passenger train Hazina
Mbona unaweweseka sana? Kila kona mnapigwa.
Na baada ya muda uganda watagoma kupitia kwenu huko. Tanzania Oyeeee!! Kenya Hoiiiii!!!
Still produces more electricity fool
Mturuki anawaundia reli ya 1.1bn$
Smh
Mtapata kweli hata stations ama ni reli pekee wanaunda ....mtakuwa mna mwagwa kando ya Barabara wakenya meanwhile tunaanda treni Nairobi hapa
View attachment 467115
Tuna pata pumziko hapa
View attachment 467116
Tuna Shukia Mombasa
View attachment 467117
Brazil, Tanzania in power planning talks1. Currently Tanzania consumes less electricity than Kenya.
2. Despite consuming less than Kenya, Tanzania still encounters way more blackouts than Kenya.
Any smart person can judge from the points above that Tanzania is far from having an electric train. Even for Kenya it was not possible though we have it in future plans. You guys need to stop listening to politicians. Hii mambo yenu ya tuta-, tunge- itabidi muachane nayo. Honestly there's almost zero chance that your stations will be anything close to our stations for the start. All I see is a huge disappointment amongst you folks considering how eager you are to beat Kenya who's dream is already actualized and though some people are not happy with the quality of our trains, everyone agrees that our stations are among the best in the world.
Wivu mbaya sanavile mnajisifia mtu anaeza fikiria mnaletewa bullet trains [emoji5] [emoji5]