Hahahaha😂Nimebubujikwa machozi ya furaha na huzuni
Umewahi kufika kanda ya ziwa hasa mikoa ya Mwanza, Geita, Kigoma na Kagera?Hio ilikuwa White elephant,halina impact ya aina yoyote ile, na hio njia haina ubusie wa aiana yoyote ile labda kupitisha raia tu basi.
True trueeHio ilikuwa White elephant,halina impact ya aina yoyote ile, na hio njia haina ubusie wa aiana yoyote ile labda kupitisha raia tu basi.
Road 🛣️ haipo busy Sana vipi watakua wanatozo Kama kigamboni maana ???Umewahi kufika kanda ya ziwa hasa mikoa ya Mwanza, Geita, Kigoma na Kagera?
Wangelijenga pale KAMANGA FERRY ⛴️Ninaijua hiyo njia, daraja hilo linastahili kuwepo
Pale Kamanga lingegharimu pesa ndefu zaidi, ingelazimu kuinua juu sana kuwezesha meli zinazotoka bandari ya Mwanza South (Igogo) ziweze kupita chini.Wangelijenga pale KAMANGA FERRY ⛴️
True..Pale Kamanga lingegharimu pesa ndefu zaidi, ingelazimu kuinua juu sana kuwezesha meli zinazotoka bandari ya Mwanza South (Igogo) ziweze kupita chini.
Sahihi mkuu.Likatokee wapi? Lingesababisha foleni mjini, halafu urefu ungezidi
Road ipo busy sana bro. Daraja hilo ni kiunganisho cha mikoa ya Geita, Kigoma, Kagera to Mwanza but also nchi za Burundi, Congo, Rwanda and Uganda to Mwanza. Hadi hapo unaweza kusema barabara haipo busy? Mgodi wa Geita pekee yake kwa siku 1 wanatumia zaidi ya lita 300,000 za mafuta diesel kwa siku; bado unahisi barabara haipo busy bro? Daraja la mto rufiji to mikoa ya kusini nalo utalisemaje? Mungu amrehemu hayati JPM kwa uthubutu wake, alikua mtu na nusuRoad 🛣️ haipo busy Sana vipi watakua wanatozo Kama kigamboni maana ???
True 😊 Mimi pia nimekulia Rock City hata ELIMU yangu ya primary...then nikasepa nikajaga Tena A level hapo bukoba shule aliyo soma MBOWE so napajua Sana huko.Road ipo busy sana bro. Daraja hilo ni kiunganisho cha mikoa ya Geita, Kigoma, Kagera to Mwanza but also nchi za Burundi, Congo, Rwanda and Uganda to Mwanza. Hadi hapo unaweza kusema barabara haipo busy? Mgodi wa Geita pekee yake kwa siku 1 wanatumia zaidi ya lita 300,000 za mafuta diesel kwa siku; bado unahisi barabara haipo busy bro? Daraja la mto rufiji to mikoa ya kusini nalo utalisemaje? Mungu amrehemu hayati JPM kwa uthubutu wake, alikua mtu na nusu