Afrika Mashariki yarindima, wana Kanda ya ziwa kufurika Mwanza 30 April 2025 Rais Samia akizindua daraja refu kuliko yote Afrika Mashariki

Afrika Mashariki yarindima, wana Kanda ya ziwa kufurika Mwanza 30 April 2025 Rais Samia akizindua daraja refu kuliko yote Afrika Mashariki

Tumpe maua yake Marehemu

Pamoja na madhaifu yake kama Binadamu, lakini ametuachia mengi ya kujivunia

Tanzanite bridge
Mfugale flyover
John Kijazi flyover
Mwl Nyerere hydropower
Kigogo Busisi bridge
Kimara to Kibaha 6 lanes roads
SGR
ATCL with more than 12 Airbus/Bombardiers
 
Hio ilikuwa White elephant,halina impact ya aina yoyote ile, na hio njia haina ubusie wa aiana yoyote ile labda kupitisha raia tu basi.
Ahahahahaha! Dogo umenikumbusha ule msemo ya kwamba mwenye gubu hata akimuona mtoto anacheza kwenye matope hulalamika kuwa huyo mtoto anawatimulia vumbi! Ahahahahaha!!!
 
Hio ilikuwa White elephant,halina impact ya aina yoyote ile, na hio njia haina ubusie wa aiana yoyote ile labda kupitisha raia tu basi.
Hii ni akili ndogo sana

Tukiwa na viongozi aina yako ni hasara mno

Huna maono yoyote na huwenda hapo ulipo ni masikini wa kutupwa

Kiongozi tunaotaka ni wale wanaoiona Tanzania ya miaka 10,20,30 hafi 100 kwamba itakuwaje

Wakati wewe ukiiona hiyo barabara haina ubize, JPM aliiona inaubize mkubwa miaka michache ijayo, na ndiyo maana kwa uthubutu wake akaamuwa kujengwe daraja hapo
 
Kusema daraja halina maana kukaa pale sidhani ama ni ndoto ama ndo yale yale ya chuki binafsi. Pengine ungekuja na data za MSL na Tanroads kwa ujumla ndo tungepata msingi wa hoja yako lakini kwa aliyeamua kufanya daraja lile mwenye maono yake alikuwa anajua ni kipo anacho katika maono yake mengi juu ya nchi hii.

JPM alifanya sana tafiti juu ya miradi yake iwe kwa leo ama hata kea miaka 50 ijayo, hakuwa mtu sawa na hawa wanaojifanya wako Ikulu na ndo maana alidiriki kutumia pesa na mda juu ya vitu vigumu kwa ajiri ya kesho. Na huenda na mnaopinga (wachache) juu ya ujenzi huu na nyie mkawa miongoni mwa wale wanaoishi kwa ajiri ya leo tu, you must think of Mwanza, you must think of Kanda ya ziwa as whole and you must also think of the East Africa over 10/20 years from now. .. it is when you can well understand the motive behind
Katika historia ya nchi hi, hakukapata kutokea rais mwenye vision with mission kama JPM, hakuna. Sema wabongo wengi tunapenda vitu vinavyo toa matokeo ya hapo hapo, that guy alikua anaitazama Tanzania ya miaka 30 mbele huko. Ni bahati mbaya tu wazalendo na wenye upendo kwa nchi zao na wenye akili huaga hawadumu sana, sijui kwasababu wanafikiria sana?
 
Hata busisi ni parefu Sanaa 😊
Busisi na Kamanga bro? Kamanga parefu sana but again serikali ingeingia kazi nyingine ya kujenga barabara ya lami. Huoni kama ingekua kujichelewesha tu. Kingine labda ungejiuliza, why daraja la Kigamboni lilikengwa Kurasini na sio magogoni? Bandari na meli, serikali ingelazimika kujenga daraja refu ili kutokuzia meli zisifike bandari, same as Busis..
Busisi was the right place, pafupi na barabara tayari ipo na hapako busy kwa meli za kwenda Bukoba, Ukerewe na au Musoma or even Uganda na Kenya. Legacy ya Magufuli itadumu vizazi vingi sana vijavyo.
 
Tumpe maua yake Marehemu

Pamoja na madhaifu yake kama Binadamu, lakini ametuachia mengi ya kujivunia

Tanzanite bridge
Mfugale flyover
John Kijazi flyover
Mwl Nyerere hydropower
Kigogo Busisi bridge
Kimara to Kibaha 6 lanes roads
SGR
ATCL with more than 12 Airbus/Bombardiers
Mwamba alitoa Roadmap ya rais anatakiwa kufanyaje kazi
 
Back
Top Bottom