Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
Akijibu naomba nitag mkuu,, me pia nahitaji kufahamu.Mkuu, naomba uhusiano wa kisukari na mazoezi. Kuna kitu nataka kujifunza.
Kuchoma sukari inayorundikana kwenye damu. Japo sio nguli wa maswala ya afyaMkuu, naomba uhusiano wa kisukari na mazoezi. Kuna kitu nataka kujifunza.
Kabisa Ukiondoa kisukari cha kurithi, vyakula vyenye sukari ndiyo chanzo kikubwa.Mfumo wa maisha maana afrika watu wanapenda sana vitu vitam
Mkuu.Africa watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio
Kuna ya kurithi ingawa mazoezi yanasaidia kuondoa uwezekano huoKabisa Ukiondoa kisukari cha kurithi, vyakula vyenye sukari ndiyo chanzo kikubwa.
Sema vyakula vya wanga mkuu. Sisi tunatumia sana nafaka zenye carbohydrates sana kama mahindi na mchele na ngano. Hili lina mchango mkubwa sana kwenye gonjwa la sukari.Kabisa Ukiondoa kisukari cha kurithi, vyakula vyenye sukari ndiyo chanzo kikubwa.
Huu ndiyo ukweli..Sema vyakula vya wanga mkuu. Sisi tunatumia sana nafaka zenye carbohydrates sana kama mahindi na mchele na ngano. Hili lina mchango mkubwa sana kwenye gonjwa la sukari.
vipi maeneo wanakokula wali/ Mchele hali ipoje?, wengine tumekula wanga/ugali mpaka umri huu.Sema vyakula vya wanga mkuu. Sisi tunatumia sana nafaka zenye carbohydrates sana kama mahindi na mchele na ngano. Hili lina mchango mkubwa sana kwenye gonjwa la sukari.
Na ndio huliwa sana afrika Anza na ugali n.k ndio maana mtanzania akipata sukari akapewa Ile diet ya mtu wa sukari huwa anakonda sana tena anateseka wakati kwa wenzetu hizo ni menu za kawaida kabisaKabisa Ukiondoa kisukari cha kurithi, vyakula vyenye sukari ndiyo chanzo kikubwa.
Mchele nimeutaja. Kula wanga tu sio shida. Kwanza somo la sukari ni pana sana sijui kama wengi tunalielewa. Ni topic pana kidogo.vipi maeneo wanakokula wali/ Mchele hali ipoje?, wengine tumekula wanga/ugali mpaka umri huu.