Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Hii ni irrelevant kabisa, Mababu, Mabibi na Wazazi wetu waligonga sana vyakula hivyo ila viwango vya sukari vilikuwa hafifu, mivyakula ya viwandani, soda na bia ndiyo inachangia sana ila si vyakula asilia.Sema vyakula vya wanga mkuu. Sisi tunatumia sana nafaka zenye carbohydrates sana kama mahindi na mchele na ngano. Hili lina mchango mkubwa sana kwenye gonjwa la sukari.
Kuna sababu nyingi tu za kisukari .Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari.
Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na wazungu.
Nikasikitika sana kwani nilijua kazi ngumu ni mbadala wa mazoezi.
Hizi data kwa picha zunainesha Tanzania ni namba 4 kwa wingi wa wa wagonjwa wa kisukari Africa.
Noumaaa sana hio!
Mafuta yanachochea insulin receptors kuwa less sensitive na insulin.Mkuu, naomba uhusiano wa kisukari na mazoezi. Kuna kitu nataka kujifunza.
Shukrani sana Mzee wa chai. Maelezo yamenyooka. 🙏🙏Mafuta yanachochea insulin receptors kuwa less sensitive na insulin.
Insulin ndio inayo control kiwango cha sukari kwenye damu.
Sasa ukifanya mazoezi unachoma mafuta na kusaidia insulin receptors kuwa sensitive na insulin ,hivyo insulin inakuwa na uwezo wa ku bind kwenye receptors zake na kufanya kazi yake ya ku control sukari kwenye damu.
Cha kuongezea ni kwamba ukiona dalili za kisukari mfano kusikia kiu mara kwa mara, kusikia njaa, kusikia mkojo na hali ya kupoteza uzito na kuchoka choka , ni heri uende kutafuta tiba mapema.Shukrani sana Mzee wa chai. Maelezo yamenyooka. 🙏🙏
Poleni sana.Hilo gonjwa ni baya la sukari lilituondolea ndugu yetu hivihivi..😭😭😭😭😭😭😭😭
Mkuu sawa tunafanya kazi ngumu...but it's gonna end kwenye uchumi... imagine huyo mmbeba lumbesa analipwa 1000 mfano kwa gunia then after summation hiyo ndio itumike kula itumike on everything na bado haya magonjwa some of them ni inheritable mwisho wa siku matibabu yake pia kwa hali zetu kua afford ni ngumu .. tofauti na wenzetu wako mbali ..they know the effects but they also know how to manage the situations iwe ni afya elimu etc.Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari.
Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na wazungu.
Nikasikitika sana kwani nilijua kazi ngumu ni mbadala wa mazoezi.
Hizi data kwa picha zunainesha Tanzania ni namba 4 kwa wingi wa wa wagonjwa wa kisukari Africa.
Afrika siyo kinara wa kisukari; watu wenye visukari wengi ni wale wenye maisha mazuri wa mijini tu. Kule Uswazi na vijijini hakuka kisukariAfrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari.
Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na wazungu.
Nikasikitika sana kwani nilijua kazi ngumu ni mbadala wa mazoezi.
Hizi data kwa picha zunainesha Tanzania ni namba 4 kwa wingi wa wa wagonjwa wa kisukari Africa.
Hizi wanga wanazozidis ndo vyakula vya bei chee.Mkuu sawa tunafanya kazi ngumu...but it's gonna end kwenye uchumi... imagine huyo mmbeba lumbesa analipwa 1000 mfano kwa gunia then after summation hiyo ndio itumike kula itumike on everything na bado haya magonjwa some of them ni inheritable mwisho wa siku matibabu yake pia kwa hali zetu kua afford ni ngumu .. tofauti na wenzetu wako mbali ..they know the effects but they also know how to manage the situations iwe ni afya elimu etc.
Unajidanganya mkuu.Afrika siyo kinara wa kisukari; watu wenye visukari wengi ni wale wenye maisha mazuri wa mijini tu. Kule Uswazi na vijijini hakuka kisukari
Kisukari na kudindisha vinahusiana vipi Mzee? Au huo upofu?Kisukari kikikomaa madhara yake ni makubwa mno ikiwemo kuwa hanithi na upofu.
Siamini, kwani kijijini kwetu hatujawahi ksuikia ugonjwa wa kisukari. Maisha yangu yote, kuna mtu mmoja tu ndiye alikutwa na kisukari na hicho hakikuwa Type 2 bali ilikuwa Type 1.Unajidanganya mkuu.
Magonjwa ya kitajiri sasa hivi wanaumea hadi maskini.
Zamani nilikua naamini presha na hizo sukari ni magonjwa ya kidosi.
Malaria, kipindupindu, typhoid nk ni magonjwa ya walalahoi.
Ila hapo kwa walalahoi hayo ni kweli ni magonjwa yao, saivi wameyachukua na yale ya wados.
Basi ni kijijini kwelikweli.Siamini, kwani kijijini kwetu hatujawahi ksuikia ugonjwa wa kisukari. Maisha yangub yote, kuna mtu mmoja tu ndiye alikutwa na kisukari na hicho hakikuwa Type 2 bali ilikuwa Type 1.
Kiuskari husababishwa na mambo mawili tu: Mlo na mazoezi. Milo mibovuo bila mazoezi
Kwa sababu sukari inalundikana ndani ya damu kupitia kiasi kwa hiyo ile mishipa ya damu diameter yake inakuwa ndogo (narrowing of blood vessels) ,pia inapelekea mishipa ya damu kukakamaa hivyo inashindwa kusinyaa na kutanuka.Kisukari na kudindisha vinahusiana vipi Mzee? Au huo upofu?