Afrika sijaona timu ya kuifunga Yanga SC

Ndio maana haji manara alijisemea mashabiki wa yanga hamna akili timamu kwa huu uzezeta ulio andika unathibisha alicho ongea yule bwege alikua sahihi kabisa
Nadhani tuangalie rekodi namba hazidanganyi, Yanga imecheza mechi ngapi na kufungwa ngapi, fanya mechi 20 za mwisho jibu utalipata
 
Mimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu.

Hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga Yanga SC msimu huu Yanga inaenda kuchukua Ubingwa wa Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga Yanga msimu huu naombeni muitaje.

Hapa chini sababu nilikua naona kama Al Ahly ataweza kuifunga Yanga ila nimeiangalia Al Ahly inavyocheza nimeona wapo unga sana hamna timu mule kwa jinsi Yanga wanavyochezea aisee hamna wakuwazuia Africa hii.
nakazia AFL na klabu bingwa ni yanga tu
 
Vipi Azam?
 
Vipi Tabora United?
 
Back
Top Bottom