Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wala siyo Wamorocco. Hawa ni wazamiaji toka West AfricaHalafu Morocco ni Waarabu kiaina, ukizingatia namna ambavyo tunapenda kuponda Wazungu na ambavyo Waafrika wanateseka wakijaribu kuingia uzunguni, vijana kama hawa kwenye hii video wanafikirisha sana, nguvu kazi tena vijana barubaru!
View attachment 2404576
Watanzania hawahawa au wa Masaki?Usisema Africa maana watanzania hawana hizo pigo... Sema Morroco na Kenya
Hawahawa... Watanzania wengi hawahui hata Kenya inafananaje sembuse ulaya?Watanzania hawahawa au wa Masaki?
Endelea kulala usingizi wa pono, nenda mpaka wa South Africa uone wanavyoruka fence.Hawahawa... Watanzania wengi hawahui hata Kenya inafananaje sembuse ulaya?
Ni sauz tu, na huko wanaenda wabwia ungaEndelea kulala usingizi wa pono, nenda mpaka wa South Africa uone wanavyoruka fence.
Once you're born in Africa life is automatically leading you 1-0..If you're not educated 2-0..If your parents have no money 3-0..Acha tu wavuke border Afrika ni nusu ya hell...!!Halafu Morocco ni Waarabu kiaina, ukizingatia namna ambavyo tunapenda kuponda Wazungu na ambavyo Waafrika wanateseka wakijaribu kuingia uzunguni, vijana kama hawa kwenye hii video wanafikirisha sana, nguvu kazi tena vijana barubaru!
View attachment 2404576
Sikatai Waarabu wapo ila Waafrica wa West ni wengi zaidi. Moroco wanafaidika na hii game maana wanapata hela ya kuzuia wakimbizi kwenda Ulaya kama anavyopata Mturuki. Kwa hiyo na yeye anaruhusu watu wa West Africa kuingia tu Moroco ili kujustify malipo toka EU.Angalia video vizuri, uzao wa Waarabu kabisa, sasa mbona wasikimbilie Uarabuni lazima wapambane kuingia Uzunguni....