Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Ha haa! wewe mzee mwenzangu unakumbuka enzi zile kuendesha gari siku ya jumapili mwisho ilikuwa saa nane mchana? Na enzi zile hata hao waliokuwa na magari ya private walikuwa wachache maana kibali cha kuagiza gari kilikuwa kinatoka ikulu (au ilikuwa ni wafanyakazi wa serikali tu?)
 
Dah we jamaa/bepari
 
Mambo mwafrika anayoyafanya yanaaibisha dunia hasa kwenye hii century ya 21...Kisha hilo V8 linaenda kufungua madarasa ya mkopo wa WB?!
 
Point ya kufungua mwaka
 
Kuambatana na Rais haina maana uwe na hadhi sawa na Rais.

Wewe umeona hilo gari pekee ndo lenye hadhi ya mkuu wa mkoa?

Akitembelea Prado, Harrier ama Vitz hawezi kuwa na hadhi ya mkuu wa mkoa?
Au Hard top mkonga L/Cruiser !
 
Huko wanafuata nini? Hakuna watumishi wengine wa umma?

Ni self justifications tu zisizo na maana na kutotaka kugatusha madaraka pamoja na resources
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…