Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Ujinga wa Fikra ni dhambi kubwa ya kwanza DUNIANI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comfortable kwakuwa wenzako wanaopanda treni la TRC hawafai kuwa comfortable? Kwani pickup Hilux haliko comfortable?
Enzi za Nyerere walikuwa wananunuliwa Defenders. Bei zake hizo Toyota cha mtoto, wenyewe wamekimbia.Uovyo wa miundo mbinu ya barabara unaletwa na wananchi hadi muwakamue kiasi hicho kununua gar za milion 600?
Defender enzi za Nyerere 1962-1985?Enzi za Nyerere walikuwa wananunuliwa Defenders. Bei zake hizo Toyota cha mtoto, wenyewe wamekimbia.
Ndio uhalisia kuna maeneo ya nchi bila ya gari imara ‘off road’ safari yake ni mtihani.
Na Bata juu !! Africa unategemea iendelee kivipi ??! Uk 🇬🇧 wanatembelea gari za kawaida tu na ni nchi tajiri ! Selfishness ndio janga letu kuu. !!Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476045View attachment 2476044
Barabara za UK utalinganisha na TZ?Na Bata juu !! Africa unategemea iendelee kivipi ??! Uk 🇬🇧 wanatembelea gari za kawaida tu na ni nchi tajiri ! Selfishness ndio janga letu kuu. !!
Magari ya viongozi enzi za Nyerere yalikuwa Defenders. Hizi VX zimeanza na Mwinyi mwishoni au mwanzoni na Mkapa.Defender enzi za Nyerere 1962-1985?
dah brother uchawa umekugeuza debe tupuYes kama una uwezo wa kulipa, kopa tuu, why not?.
P
Paskali kaka !!!Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.
P
Duh,armed kwani viongozi wako wako MexicoKama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.
P
HahahaJitahidi Kafulila alianza hivyo hivyo
In another way around we borrow money from Europe to serve the leaders.Bro, this is damn low unless your injecting some sarcasm into this whole thing. Kodi zetu badala ya kufanya mambo ya maana, zina-service maisha ya viongozi. Na kwa idadi ya viongozi, ni pesa nyingi sana zinatumika kuwapa maisha bora viongozi. Inaumiza sana kiongozi wa nchi iliyoendelea anamlipa transport allowance kiongozi, tena kiasi cha kupanda public bus, lakini sisi tunampa mtu gari inayofanya rounds za kazini, sikoni, kanisani/msikitini, sehemu ya starehe, shuleni kwa watoto, nyumbani likizo na mikutanoni!!
Pesa zinazohitajika kufanya maendeleo zinatumika kutunza viongozi wasiolipia hata bills za maji, umeme, kodi ya nyumba wala samani!!
Kwani walioshambulia Ni kina naniKama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.
P
Debe tupu kweli kweli.
Hakuna haja yoyote ya kumpa mkuu wamkoa gari kama hiyo, niufujaji wakodi tu bila huruma na utu.Kuna wakati fulani aliyekuwa Rais wa awamu ya 3 wa Tanzania Late BW MKapa aliwahi kuuliza, kuna wenye SERA Mbadala? Kukosoa tu bila kuja na sera mbadala ni kukosa shabaha........nadhani wanaosema VX V8 ni ghali kwa aina ya uchumi wetu, wangependekeza model nyingine mpya ya kuepukana na gharama, labda kupunguza safari zinazodidi 250km kwa kila Kiongozi,mfano badala ya PM or Waziri wa Kilimo kwenda hadi Mpanda,Katavi, RC na DC wa eneo husika wanaweza kupewa instruements za kufanya kile ambacho PM/Waziri angetekeleza............hii itapunguza operational costs
Mapema Sana kipindi Cha pili mwanzoni hatuko na wewe ,, Kama Ni wa chato utapelekwa chato ukapumzikeNikiwa Rais naondoa huu upuuzi wa magari..kila mtu ajinunulie gari lake au adandie daladala..
Mbona wafanyakazi wengine wanatumia gharama zao kufika maeneo yao ya kazi?.
Gari zitakuwa chache tu na zitakuwa hazina mwenyewe..ukitokea uhitaji wa kusafiri kikazi ndo utatumika tu and not otherwise.
Hawa wachumi wa tumbo ni kuwapuuza tu.Wanasiasa wetu,anampinga Magufuli kukopa anakuja kumuunga Samia kukopa!View attachment 2476195