Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.

P
Mtu wa kawaida kumwelewa Pascal Mayala sio rahisi ila wale ambao ni gifted wanampata sawa sawa kabisa. Kwenye elementary of economics kuna dhana 2 za muhimu sana, Rsource are always scarce but needs are unlimited halafu kuna opportunity Cost-the forgone choice. Sasa sijui kama Pascal alimaanisha kwamba kwamba sisi hizi kanuni tumeshazifikia au la
 
Huwa nawaza hivi hizi pesa tungezielekeza kwenye Kilimo kupitia Magereza na JKT wqkishirikiana na SUA si tungekuwa mbali sana kwa kulisha Afrika na Dunia.

Kaka Pascal tumepotea sana Tanzania au ndiyo Mungu anatuonesha watesi wetu kwa vitendo!
Una mawazo makubwa sana kaka! Mungu akubariki, akuongoze, akulinde na akuzidishie.

Cheo, afya na utajiri ni kipimo cha imani. Wakishatoboa wanabadilika na kuanza huo ushetani
 
Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.

P
Ukiwa unaona mambo yasiyo faa na ambayo huwezi kuyatatua katika mazingira yake, then unaweza kuweka comment kama hiyo apo juu.

Yani ni kama mtu alie kata tamaa, kwamba likitoka baya hili, linaingia hili then unashindwa hata chakuandika.

Nakama haupo katika mazingira kama hayoapo juu,then your absolutely useless indeed.

Umasikini wa nchi za Africa unasababishwa na viongozi kwa [emoji817].
 
Ninachojua hilo gari la serikali unaonyesha kumshambulia RC kana kwamba ni lake wakati akikoma kuwa rc analiacha serkalini.Hii Roho ya kushambulia viongozi bila Elimu mnapata wapi?
matumizi wa fedha ndo main point,RC hata Land cruiser hard top inamfaa.izo V8 hata kuzihudumia(service)pia ni gharama kubwa.
 
Back
Top Bottom