Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Mkuu hivi ni kauli yako au account yako imedukuliwa?Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy! Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari ya viongozi wetu wakiwemo wabunge, mawaziri yote yawe ni armored.
P
Huyu naye alitaka kuwa mbunge Ili ale maisha kama wengine.Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy! Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari ya viongozi wetu wakiwemo wabunge, mawaziri yote yawe ni armored.
P
Sikuizi mkuu naona umeamuwa kupuyanga tuYes kama una uwezo wa kulipa, kopa tuu, why not?
P
Ni sawa sasa kwa nini Mtu kujiweka mbele kutaka kuongoza ili hali huna hiyo nia ya dhati? Kwani nchi yote hii hakuna wenye huo uwezo?.Ndio hawatoki sayari nyingine ila tuwe Waungwana miongoni mwetu.Viongozi wa Afrika hatuletewi labda kutoka sayari nyengine bali hutoka miongoni mwetu mimi,wewe ndugu na jamaa zetu ndio huwa viongozi wa nchi zetu za Afrika.
Hahaha kwamba mwijaku hatumii jasho akifanya uchawa wake??Jasho gani wewe? Kupiga domo na kuwa chawa unatumia jasho gani?
Huyu sijui kawaje asee 😄Jitahidi Kafulila alianza hivyo hivyo
Miafrika ndivyo tulivyo.Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476044
Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476044
Tatizo ni uongozi wa juuMtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476044
VijisentiMtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476044
Kwamba kwa comment hii hata kama ni ya muda mrefu, ndugu Paskari haoni kbs matatizo ya nchi hii na taabu za wananchi, halafu kuna wakati huyu bwana katangaza nia ya kuwania ubunge na akaangukia pua, hakika Taifa hili sijui ni wapi tulikoseaKama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy! Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari ya viongozi wetu wakiwemo wabunge, mawaziri yote yawe ni armored.
P