inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
So mkuu wa mkoa atembelee gari gani?..pendekezaHakika haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za taifa. this nonsense should stop. Taifa hili lina matatizo mengi ambayo hiyo fedha ingetumika kuyatatua. Mama Samia tunakuomba uzuie, huo ndiyo uhujumu uchumi.
Punguza roho ya choyo, pendekeza rc ambaye huambatana na msafara wa rais,atembelee gari ganiMtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476045View attachment 2476044
Nyerere ilikua mabenzi, mwinyi Pajero,mkapa Nissan,jakaya land cruisers,jk v8Huu upuuzi ulianza enzi za JK, ukakua zaidi kipindi cha Jiwe na sasa unaendelea.
Usimwamini Mwafrika ndugu.
Magufuli kwenye kampeni 2015 alisema ataondoa ma V8 na alipoingia ndiye aliyebariki mpaka ma DAS kuanza kutembelea ma V8.
Mungu-Mzungu-mwarabu-mwafrika-Sokwe
Wewe tushajua unataka uteuzi hakuna utachosema cha maana.Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.
P
Tuna tatizo Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!Kwenye taifa lililojaa vijana wasiokuwa na ajira rasmi na umasikini wa kutupwa?kwani kipindi kile Mwalimu anatawala kiwanda cha Marcedes Benz kilikuwa bado hakijafunguliwa ili Mwalimu ale Bata na Mawaziri na RCs wake waote!
Huwa nawaza hivi hizi pesa tungezielekeza kwenye Kilimo kupitia Magereza na JKT wqkishirikiana na SUA si tungekuwa mbali sana kwa kulisha Afrika na Dunia.
Kaka Pascal tumepotea sana Tanzania au ndiyo Mungu anatuonesha watesi wetu kwa vitendo!
Kwani kazi yake inahusiana moja kwa moja na aina ya gari ya kutumia au unakusudia hadhi yake? Niliona interview moja juzi kati Mzee makamba akielezea wakati alipokuwa mkuu wa mkoa, alisema kazi ya mkuu wa mkoa ni rahisi sana maana wataalamu wote wapo.So mkuu wa mkoa atembelee gari gani?..pendekeza
Ninachojua hilo gari la serikali unaonyesha kumshambulia RC kana kwamba ni lake wakati akikoma kuwa rc analiacha serkalini.Hii Roho ya kushambulia viongozi bila Elimu mnapata wapi?Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476045View attachment 2476044
Viongozi wa nchi za kiafrika wanajifanya ni wa muhimu kuliko binadamu wengine.Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476045View attachment 2476044
Nimekuuliza mkuu wa mkoa ambae huambatana na msafara wa rais atembelee gari gani!?..we unaleta story za makambaKwani kazi yake inahusiana moja kwa moja na aina ya gari ya kutumia au unakusudia hadhi yake? Niliona interview moja juzi kati Mzee makamba akielezea wakati alipokuwa mkuu wa mkoa, alisema kazi ya mkuu wa mkoa ni rahisi sana maana wataalamu wote wapo.
Nipo napita Hapa Karibu na shule ya msingi moja hivi Naona Wanafunzi wanajisaidia nje wavulana kwa wasichanaMtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476045View attachment 2476044
Kuna mawili Ni aidha Serikali imewanunulia au yeye binafsi kanunua lake na kuweka plate namba..Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476045View attachment 2476044
Sio kazi Yake by the wayHalafu Kiongozi kama huyo unatarajia akutatulie changamoto zako za kumudu milo mitatu kwa siku.