Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Kuna wakati waziri wa nchi mojawapo ya Ulaya alifika Tz, akaombwa msaada na akakubali kufikisha hilo ombi nchini kwake. Siku ya kuondoka walikutana na Waziri wa Tz anaenda Ulaya, wa Tz alipanda first class na WA Ulaya alipanda second class. Angalia sasa Mwafrika anaenda kuomba msaada nje.
Dah kudadeki hiii kali.
 
Deni kila mwaka linaongezeka utasemaje una uwezo wa kulipa
The doctrine ya kukopa is the ability to pay na sio kuogopa deni kuongezeka!. Marekani ndio nchi tajiri ya kwanza duniani na ndio inayoongoza kwa kukopa, imekopa hadi China!.

P
 
The doctrine ya kukopa is the ability to pay na sio kuogopa deni kuongezeka!. Marekani ndio nchi tajiri ya kwanza duniani na ndio inayoongoza kwa kukopa, imekopa hadi China!.

P
Eti na wewe una wategemezi, pathetic! Unaazaje kuilinganisha Marekani na Tanzania kwenye suala hilo? Ndio maana ulipata kura moja, kwa akili yako hiyo ya kisoda, ungepata madaraka, siungetuuza kabisa
 
Kama katiba ni ya viraka viraka ya mkoloni ambayo alileta kwa manufaa yake unategemea nn. Ila madaraka ni matamu sana unalamba tu asali ya taifa na ndinga kali zero km
 
Mkilalama hata hilo atarudisha aseme bovu na halikidhi matumizi anataka lingine.
 
The doctrine ya kukopa is the ability to pay na sio kuogopa deni kuongezeka!. Marekani ndio nchi tajiri ya kwanza duniani na ndio inayoongoza kwa kukopa, imekopa hadi China!.

P
We jamaa ungekuwa unatumia fake ID pale unapotaka kutoa kauli zisizo na mantiki kidogo ningeona una akili maana kuna watu wengi wanazo account kwa ajili tu ya kukera na kuchangamsha genge.

Ila wewe mwenzangu, umejijengea heshima katika jamii, umesoma kabisa, tena ukaverify account yako humu halafu unakuja kusema maneno kama haya kweli? Yaani umeverify account ili uje useme viongozi wale raha?

Shida ni nini aisee?
 
Viongozi wako buzzy kupiga pesaa kwa manufaa binafsi, wananchi na raia wako buzzy kupinga ushoga na usagaji tyuuh.

Khalhaghabhao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unatuumiza ujue
 
Viongozi wanatakiwa watembelee rolls royce kabisa mm nasubiri muda ufike nikapige domo pale ccm niwaloge wagombea wenzangu wafe nipate ubunge nilogeeeee niwe waziri alafu niwaonyeshe matusi.
 
Back
Top Bottom