Unatuambia sisi wanainchi au serikali yako ya ccm? lakini ujue serikali ni gharama mkuu kuongoza watu vichaa wenye chuki kama wewe ni lazima uwe na ndinga kama hiyo ili wakikukimbiza na vindinga vyao wasikupate.Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476045View attachment 2476044