SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Kwa kweli ...Lumumba aliongea ukweli. So issue kubwa ni corruption, wenzetu wapo serious Sana na kuondoa rushwaMajibu kimsingi ya swali kama hili yametolewa sana humu.
Wapo waliosema ni laana, wapo walio toa sababu mbalimbali za kitaalamu...
😅Yaani ipo hivi, afu hata haya mambo ya connection sijui yanakwamisha kinoma. Mtu ana qualifications ila haingii sehemu anaingizwa mtu Hana vigezoTujipige vifua tuseme sisi ni wezi kijana mdogo Yuko shule anawaza akija kufanya kazi mahali kaje kuiba
Kivipi mkuu elezeaShida ni mfumo wetu wa malezi
So unasema tungeendelea kutawaliwaTulikosea sana kudai uhuru tungekuwa mbali kuwazidi
Bila kuwakata wezi mikono watadokoa dokoa mpaka wajukuu zetu watakuja kuwa wezi tuuuu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji28]Yaani ipo hivi, afu hata haya mambo ya connection sijui yanakwamisha kinoma. Mtu ana qualifications ila haingii sehemu anaingizwa mtu Hana vigezo
NdioSo unasema tungeendelea kutawaliwa
Matumizi ya nguvu zaidi kuliko akili, kuchochea ubinafsi,Kivipi mkuu elezea
Mbona wazungu hawakati wezi mikono...hi sio point nzuri...sijapendaBila kuwakata wezi mikono watadokoa dokoa mpaka wajukuu zetu watakuja kuwa wezi tuuuu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa hoja ipi ulionayo..so ulitaka malighafi zote wabebe kwaoNdio
Maisha Sio connection ukisubiria connection utachelewa sana.😅Yaani ipo hivi, afu hata haya mambo ya connection sijui yanakwamisha kinoma. Mtu ana qualifications ila haingii sehemu anaingizwa mtu Hana vigezo
Hamna tofauti Kati ya ubongo wa mtu mweusi na mweupe. Acha ubaguziUbongo wa mtu mweusi Itakuwa kuna city vinamisi kama ambavyo ngozi ya weupe inamisi melanin(weusi).
Acha kutetea wezi mbona mtaani wanachomana moto mnahofu na wizi wenu huko maofisini???Mbona wazungu hawakati wezi mikono...hi sio point nzuri...sijapenda