SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
- Thread starter
- #21
True ..elimu ni mkombozi..Ila kumbuka elimu yetu ya wakoloni ilituandaa tuwatumikie waoKosa ni baada ya Uhuru kuyaacha hata mazuri ya wakoloni.
Hao Asia walibadili tu rangi wakayaendeleza zile falsafa na mawazo ya wakoloni wao yawe kwa faida Yao.
Ukiangalia hata Sasa mfumo Bora wa elimu kuokoa kizazi hiki ni ule uliotumiwa na wakoloni yaani kufundisha vitendo zaidi.
Kosa la mwalimu ni kuingiza siasa kwenye elimu