Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

Lakini Kuna wazungu pia wanakuja kuishi Africa...na ni wengi kinoma..na wanaishi vizuri tu...maisha mazuri. So ishu sio Africa issue ni watu wenyewe
 
Very true...so Sasa tufanyaje..tubadili mfumo wa elimu yetu. Tunafanyaje asa elimu yetu iweje
Ni kwamba katika level ya elimu tumevuruga na tunaona mtabaka mapema mno ,haswa zile elimu zinazoendana na dunia ndio hizi wanasoma watoto wa vigogo ili baadae waje kukutawala.

Nchi nyingi zilifanikiwa katika reforms za awali kabisa baada ya uhuru yaani kamq zenji wasingeungana na Tz ,leo wangekuwa mbali huku kwetu Nyerere aliharibu kwa sababu zake binafsi.
 
🤣Eti kulia Lia jamani
 
Bana ..🤣usianze kutugawa watanzania bana...so Zanzibar ingekuwa Kama Dubai
 
katika suala la utajiri umeitaja hapo india pamoja na uchumi wake mkubwa n.k. ila wahindi wengi ni masikini wa kutupwa...., pamoja na yote Africa hatujachelewa tunaweza tukawa na mfumo inclusive bila gap in classes ya kutupwa - Pamoja na watu wao wengi, hao watu wangekuwa productive india ingekuwa mbali sana

Tunahitaji definition nyingine ya utajiri
 
🤣So tumezingua hapo tu...tumekosea kubeba
 
Hata marekani homeless ppo wapo bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…