Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kwa hiyo Tanzania hakuna mafuta na gas si ndiyo ?Mafuta, gesi, viwanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Tanzania hakuna mafuta na gas si ndiyo ?Mafuta, gesi, viwanda.
Mafuta hakuna, gesi ipo potentially lakini siyo ya kuleta maendeleo ya maana.Kwa hiyo Tanzania hakuna mafuta na gas si ndiyo ?
Una uhakika Tanzania mafuta hakuna ?Mafuta hakuna, gesi ipo potentially lakini siyo ya kuleta maendeleo ya maana.
Mkuu usilazimishe mijadala isiyo na maana.Una uhakika Tanzania mafuta hakuna ?
Mwanzo ulisema gas na mafuta umeswitch tena.
Unajua kuhusu Mnazi Bay ?Mkuu usilazimishe mijadala isiyo na maana.
Tanzania mafuta yapo wapi?
umeniuliza mifano ya rasilimali ndiyo maana nikataja mafuta kama mfano wa rasilimali za maana.
Tanzania ina gas karibia 57 trillion cft.Unajua kuhusu Mnazi Bay ?
Acha kudanganywa wazungu waamini uchawi na dini mpaka movie kibao za kichawi zipo kwao mpaka kesho.Hizo ni hatua ndogo tu za kuanzia, ambazo tumeshindwa.
Sasa hapo tukitaka kujiongeza zaidi kwenye elimu na uchumi lazima tushindwe...
DaahRasilimali zipi? Tanzania Haina rasilimali za maana acheni kujidanganya.
And how do we do that yaaniTuwe tayari kuendelea
🤣Okay ila si nchi iliendelea jamani...tuache ushabikiMagu alikuwa kiongozi bora ?!. unaleta utani kwenye mada serious uliyo anzisha mwenyewe
True coz vingi vilikuwa havijagundulika...ma Tanzanite haya...Wangechukua kipi wakati hawakuwahi chimba?
Hahaha huwezi sema tutawaliwe Tena huku ni sawa na kukataa tamaaKujichubua haisolve chochote, ifike tu sehemu tukubali Afrika tulizaliwa kutokuwa na uwezo kujitutumua haisaidii chochote, tena best way nashauri tutawaliwe tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Very true...so Sasa tufanyaje..tubadili mfumo wa elimu yetu. Tunafanyaje asa elimu yetu iwejeMpaka leo elimu ya mzungu haina tija wala ugunduzi zaidi ni prestige basi ,hao waliopata wakijua kingereza ila ngozi bado nyeusi wanaitwa ndo wasomi😅😅wanajifananisha na wazungu ...Ila kiukweli wamemega elimu kidogo ndo hiyo tangu ukoloni na ndipo tunadumaa ila ujuzi na ugunduzi ni zero kabiaa.
Very true ..so kwamba tukiwa serious na kazi maendeleo yatakuja..bila kuonekana huruma.Kufanikiwa kwa waafrika inawezekana lakini lazima kwanza mifumo yote mibovu ifutwe.
Tuje na mifumo mipya ya kuto kuchekeana na kubembelezana.
Inashangaza sana hapa Tanzania mtu akiharibu wizara hii ana hamishiwa wizara nyingine,Au aki haribu kitengo fulani ana hamishiwa kitengo kingine.
Huu ni upumbavu wa hali ya juu.
Kuchekeana chekeana huku kwa kuvunja sheria ndio kuna kwamisha waafrika kuendelea.
Wazungu walipaswa endelea baki hadi tujitambue, sababu tayari tulikuwa huru tungeishi naoTrue coz vingi vilikuwa havijagundulika...ma Tanzanite haya...
Very true...Ila pia bado majority population ya western countries ni religious people..so ishu sio kuondoa dini kabisa coz utaonekana kiongozi shetani(Kama Obama) issue ni kuencourage critical thinking ndo maana wazungu despite dini kuwepo bado wanaendelea coz wanatanguliza akili kwanza.Hizo ni hatua ndogo tu za kuanzia, ambazo tumeshindwa.
Sasa hapo tukitaka kujiongeza zaidi kwenye elimu na uchumi lazima tushindwe.
Utakuwaje na elimu ya kisayansi na critical thinking kama watu wako wametawaliwa na mawazo ya dini na uchawi?
Utajitoa vipi kwenye minyororo ya utumwa wa kiuchumi kama hata unaponunua bidhaa za nchi jirani ndani ya Afrika inakubidi utumie US dollar?
Itakuwa kazi kubwa sana.