Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Dini ni utumwa wa fikra kwa waafrika wengi.Okay mr Kiranga so solution ni kuondoa dini(which is impossible kwa Africa na unajua Hilo...) And dedollarization..
Badala ya kufanya kazi wana amini eti Mungu atatenda, Mungu ata saidia au kwamba kuna kudra za mwenyezi Mungu.
Kitu ambacho hakipo.
Viongozi wa serikali badala ya kuwa jibika ipasavyo, Wana omba eti viongozi wa dini wawa ombee na kuombea taifa!!!!
This kind of Mentality, ndizo zina zalisha viongozi wa hovyo na wabovu.