Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Hakuna watu corrupt kama wachina popote pale ie kwao au nje ya kwao. Ila ni wachapa kazi.Wachina ni corrupt wakiwa Africa kwa sababu ya sheria loose.
China ukila rushwa utoliona jua milele,ulaya,marekani unapotea kabisa.
Wachina wakija Africa wanafunga ndoa na watawala wa kiafrika kuwaibia waafrika kwenye mikataba, uzalishaji, ujenzi nk.
Wapo radhi kujenga barabara chini ya kiwango kulingana na pesa yenu.
Singapore, Thailand, Indonesia na Malaysia ni nchi ambazo zipo maeneo strategic hasa the strait of Malacca.
Southern China Sea kupitia strait of Malacca, inapitisha 5.7 Trillion worth of trading goods na hizo nchi zinachukua tax kutoka nchi nyingi, ikiwemo USA. hiyo income ni sawa na kuwa na mafuta.
Mkuu hata ukiwa corrupt vipi, thats a lot of money for small countries kama hizo, lazima kutakuwa na maendeleo. Waafrika hatuna biashara za kimataifa, labda Suez canal ambayo nayo inaipa sana hela Egyp.
Mifano mingine ni Panama canal na Strait of Hormuz kwa Panama na Iran.
Kuna nchi nyingine zimebarikiwa tu, zipo kwenye strategic areas.