roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,609
- 2,751
Viongozi wa Africa hawana vision Wala mission
Hivyo hawana uwezo !! Huo ndio ukweli kataa kubali
Hivyo hawana uwezo !! Huo ndio ukweli kataa kubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh so we must be like them...Ila vitu kama hivi vipo in their culture mtu tokea udogoni anavyoJaribu kutafuta mkorea au mjapan au mchina akuoneshe nini maana ya kufanya kazi na kufanikiwa au tembele site zao za construction, viwanda vyao au miradi yao ukishindwa kabisa jifunze mitandaoni kuhusu ufanyaji kazi wa hao jamaa na kufanikiwa kwao
Hahaha umeongea kwa hisia kichizi...sawa bwana that is so true ..we need to change ourselves on thatUongozi,fikiria tuna miaka zaidi ya 60 ya uhuru hatuwezi kuendesha bandari,hatuwezi kuchimba gas,hatuwezi kuchimba dhahabu,hatuwezi kuingia mikataba yenye maslahi ya nchi.
Tumewekeza zaidi katika kuiba uchaguzi,kununua wapinzani,kuteuana kwa upendeleo,tumetengeneza nafasi nyingi za kuteuana wakati kazi zenyewe hakuna eg DC,DAS,DED.......
Afrika imejaa watawala walafi,wajinga,wapumbavu,majambazi na wasifikiri juu ya nchi zao mwisho wa fikra zao unaishia katika familia zao.
Hahaha unataka tupigane vita amaHauwezi kuiondoa sirikali ya wezi/wahuni/majambazi/matapeli/madalali kwa karatasi kwenye sanduku la kura ,asilani abadani.
Asa...ukisema utugawe tayari ushasumbua vitu vingiUnashabikia muungano au unashabikia ukoloni una tofauti na wazungu waliotukoloni ? Wewe na Nyerere akili moja hovyo kabisa mnawaza tu kutawala watu kimabavu.
Sasa mkoloni mlikuwa haumtaki kwa nini ? Huku upuuzi wake mkoloni mnauendeleza kwa weusi wenzenu ?
Very trueViongozi wa Africa hawana vision Wala mission
Hivyo hawana uwezo !! Huo ndio ukweli kataa kubali
Maendeleo nayo ni culture ya kutaka kufanikiwa kama hauna hiyo culture sahau kuhusu kufanikiwa.Mmmh so we must be like them...Ila vitu kama hivi vipo in their culture mtu tokea udogoni anavyo
Hahaha unataka tupigane vita ama
Kila taifa liishi kwa amani kivyake acha kukumbatia ukoloni jinga kabisa kuendelea kuua na kumwaga damu za Wazanzibar kisa muungano ni zaidi ya ukoloni wa mzunguAsa...ukisema utugawe tayari ushasumbua vitu vingi
Hii akili ndio wanayoitumia vijana wakikabidhiwa ofisi za umma kujinufaisha binafsi ndio hugeuka mafisadi wakiwa wazee.Kama nchi kuendelea ni vigumu saana. Lamsingi ni kutafuta maendeleo yako binafsi na familia yako.
Shida ya waafrika ni kuiga mambo ya nje hatutaki kufanya mambo yetu wenyewe basiiiJamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.
Afrika jamani shida ni nini?
Yaani mpaka inakera[emoji28]Yaani ipo hivi, afu hata haya mambo ya connection sijui yanakwamisha kinoma. Mtu ana qualifications ila haingii sehemu anaingizwa mtu Hana vigezo
Wanaendelea sababu taasisi ziko strong. Mahakama ya Marekani huwezi kuichezea kijinga kwa kupiga simu zako eti kisa wewe ni billionea.Solution sio hio Sasa... solution sio violence..mbona ulaya hawachomani moto...na wako peaceful na wanaendelea.
Nchi ikokosa amani kidogo tutajifunza kitu flani.Solution sio violence...unakuwa unafanya nchi isiwe na amani.. solution ni elimu na sheria kufuatilia
Sasa wamekuja na wizi wa 450m na kuacha ule wa Kijambazi mpaka leo hawaongelei tena ntaona wapo serious kama watakuja kujadili taarifa ya CAG kuliko kuhangaika na kesi za rushwa mahakamani zote ni kujenga maadili mema ila kwa nini zingine ziachwe na zingine zifatiliwe kwenye Nchi hiyo hiyo moja...🤣Ishu ya CAG si ilinyamazishwa na propaganda za ushoga ..si unajua wabongo wakiskia ushoga wanasahau kila kitu...
Hio ni chap nchi ingenyooka kama China. Adhabu ziboreshwe ili watu wasikimbilie uongozi kilafi bali uwajibikajiNa sisi tungejaribu mwizi Fulani na Fulani unawafungisha ndoa na RPG pale Taifa uone Kesho kuna mwenye balls za kuiba mali ya umma mwizi mmoja bomu moja[emoji2][emoji2][emoji2]
Wanaiba Kwa sabab wanajua hatuna cha kuwafanya
Hii point ndio sawa na zile propoganda za kuleta taharuki wakati watu wanaandamana kwa amani.Kwanin isiwe na Amani
Kwani wananchi waiba simu si wanachomana moto mbona Amani ipo
Ndio iwe kwa kimkurugenzi umekishindilia risasi za kichwa kwa wizi wake???
Kila atakayeingia ofisini atajua kuheshim mali inayoitwa ya Nchi
Elimu haisaidii kwa jamii isiostaarabika😂Ndo maana nasema ni ishu ya mapinduzi ya kielimu...ukisema mambo ya kuuwana patakuwa Kama mexico au Colombia kipindi Cha vita za bangi
Wizi ni ngazi ya familia hadi juu Kila mmoja kwa level yake.Mwingine atauza nchi,baba anaiba ofisin analeta home,mama nae anampiga baba apate za vicoba,dada wa kazi nae anapiga za matumizi huku anawashindisha watoto wa boss viporo ili atume kijijini kwa mzazi wake amlimie mazao, mzazi kijijini nae anakula bata kilabuni ye ndo boss akitamba kwamba ye ndo anajua kuzaa binti anafanya kazi mjini.
Tufanye maombi tu kuondoa hii roho ya upigaji
Akisingiziwaje wakati evidence zipoWe baba Ako au wewe akisingiziwa kesi akauwawa, we unadhani utakuwa sawa