Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

🤣Okay indicators za development ni mambo kama GDP life expectancy mortality rate literacy rate per Capita etc...India wamejitahidi in most.. na maendeleo yake tunaona in terms of science na trade..na investments
Ndio hapo nikakuuliza kuanzia mwanzo maendeleo ni nini; Sababu ukijibu hilo basi (na hilo ni subjective) basi siwezi kukubishia utakachoelezea; Kwahio inabidi tuweke premises...

Kwangu mimi kuendelea ni journey; kutoka hapa mpaka pale na katika kutoka hapa mpaka pale ni kuweza kuhimili mazingira unayoishi... Ndio maana wewe leo unaweza ukasema USA imeendelea ila kwa jicho la Mzawa - Red Indian akaona USA imepiga hatua nyuma - Yaani kwa kukata ile miti, surroundings na kuweka malls na maviwanda ambayo yana-poison rivers, overfishing, overproduction na kulishana sumu.... Shitting where they are Eating n.k....

Ndio hapo nikasema definition yako itategemea tunaongelea nini - Ila in any ones book huwezi kusema umeendelea wakati majority ya watu wako wanaishi in slums - Au Basic Needs sio Chakula, Malazi na Mavazi tena ?
 
Bongo hakuna biashara ya kimataifa na ile ya Tanzanite na Gold ni nini? 😂 Sema tu watawala ni wabinafsi na hawajali maslahi ya taifa as a whole bali wao watapewa nini na hao wawekezaji wanaokuja kunyonya resources.

Mtu anapewa billion 50 ya hongo anawamegea wenzake 10B kisha anasainisha mkataba wa miaka 90 wa vitalu vya madini. Watu wanajichotea mara elfu ya hio billion 50 wakimaliza hio miaka ni wameacha mahandaki tu.

Kiongozi hapo akishapewa hizo hela atakula yeye na familia yake tu. Watajenga majumba ya kifahari na magari. Raia wa kawaida mtapigwa mabomu mpishe site alipopewa muwekezaji. Huu ndio mfumo wa bongo.

Kwa ubinafsi huu bila kupigana nakoz na watawala hatutoboi. Tutabaki kulalama tu miaka nenda rudi wajukuu wetu ndio watakaoteseka..Wakati wangeweza kuja kuogelea kwenye utajiri wa rasilimali kama wafanyavyo warabu wa Dubai tunaotamania maisha yao. We unadhani wangekubali kuchimbiwa mafuta kwa kupewa 3% ya faida kila mwaka wangeendelea wale?
Hiyo Gold na tanzanite inaingiza kiasi gani kwa mwaka? na ni kiasi gani cha gold na tanzaniate kinavunwa tanzania kwa mwaka?
It's peanuts. Less than 500m$ a year na tunachukua asilimia 5 to 6%.
Meli tu zinazopita Malacca zinaiingizia Singapore 9m $/day na hao ni watu milioni tano tu. hatujazungumzia pia wana mafuta na kuna service industry kubwa kwa sababu pesa ipo, iwe chafu au safi ipo mtaani inaajiri na kustarehesha.

Wewe kaa hapo upige makelele wakati uwanja wa mpira tu kuuendesha mnashindwa, hamna hela mngewaachia tu wachina. na hiyo bandari ndiyo kabisa, hamna kitu mtafanya.
 
Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.

Afrika jamani shida ni nini?
Hujui lolote umekaririshwa.

Grass ain't greener
 
Tatizo kubwa Waafrika tumezaana na kuongezeka idadi ya watu lakini wengi hawafanyi kazi za kuzalisha bidhaa. 1) Utakuta watu wengi wapo kama madalali, wachuuzi na mawakala. Viwanda hatuna lakini Kazi za kilimo tumewaachia akina mama - ambao wanalima kidogo ili wapate mahitaji ya watoto wao na fedha kidogo za kujikimu. 2) Waafrika tunawakumbatia na kusifia wezi na waporaji wa mali za taifa- nchi za wenzetu utajiri wako utapelelezwa umeupataje? Utakamatwa na kuchukuliwa hatua. 3) Matumizi mengi ya Serikali zetu hayana mwenyewe - viongozi wanajichotea na kutumia watakavyo , hakuna anayewajibishwa. 4) Misaada toka nchi za nje - imewafanya wananchi wengi kuwa na fikra za utegemezi, bila mfadhili hakuna jambo tunaloweza fanya wenyewe, hatuwaamini wataalamu wetu wala wasomi wetu.
 
Acha ujinga Kuna watu wanalala chini ya Madaraja Kule marekani
Unajua Marekani wapo strict sana kwenye swala la kufuata sheria.

Hao wanao lala chini ya madaraja na homeless wengi unakuta wana makosa Mengi ya uvunjifu wa sheria.

Na kwa nchi kama Marekani ukisha ingia kwenye rekodi ya uhalifu na uvunjifu wa sheria fulani, kupata kazi kwako ni vigumu sana hivyo lazima uwe homeless.

Wengi wa homeless hao ni waathirika wa madawa ya kulevya, wahamiaji wasio na makaratasi, walioshindwa kulipa kodi waka fukuzwa kwenye makazi yao.

USA kila raia na mkazi ana Social security number, Hii ndio kila kitu kwenye kuku monitor na hata kwenye kuomba kazi lazima uwe na hii namba ili wakujue kila kitu.

Na kama uliwahi ingia kwa criminal record huwezi pata kazi, kirahisi rahisi.
 
Hujui lolote umekaririshwa.

Grass ain't greener
Hebu orodhesha unavyo vijua hapa tuone.

Elezea ni namna gani Afrika imefanikiwa kushinda nchi hizo alizitolea mfano mleta mada.

Kama "Grass ain't greener"

Elezea mafanikio na maendeleo ya Afrika kwenye nyanja za kiuchumi, kielimu, kiteknolojia, kiafya, kiviwanda, kimiundombinu.

Halafu elezea ni jinsi gani "Grass ain't greener" kwa nchi ambazo mleta mada anasema kwamba wametupita.
 
Mkuu,

Watu weusi hawawezi kuuana katika mfumo uliowekwa na wengine?

Kulikuwa na deliberate plan ya kusambaza crack cocaine neighborhoods za watu weusi ikifanywa USA, na kuuza bastola na bunduki, na kuwanyoma kazi watu weusi kibaguzi kuwaacha weusi wauane.

Sasa ukishatengeneza mazingira kama hayo na kuwaachia watu weusi wauane, wakauana kwa sababu wanaishi kwenye mazingira waliyotengenezewa makusudi ili wauane, ni kweli watauana, lakini hapo bado unashindwa jueleea kuwa wanetengenezewa mazingira ya kuuana, tena kimkakati?

Pumba tupu, yuna munauana halafu munasingizia mzungu ndio aliekupeni silaha? hamuhisi kuwa hapo ndio munajidhihirisha kuwa ni zero brain.
 
Pumba tupu, yuna munauana halafu munasingizia mzungu ndio aliekupeni silaha? hamuhisi kuwa hapo ndio munajidhihirisha kuwa ni zero brain.
Pumba zina protini nyingi tu, ni wewe na ujinga wako unadharau pumba.

Wewe uko wapi mkuu?
 
Hiyo Gold na tanzanite inaingiza kiasi gani kwa mwaka? na ni kiasi gani cha gold na tanzaniate kinavunwa tanzania kwa mwaka?
It's peanuts. Less than 500m$ a year na tunachukua asilimia 5 to 6%.
Meli tu zinazopita Malacca zinaiingizia Singapore 9m $/day na hao ni watu milioni tano tu. hatujazungumzia pia wana mafuta na kuna service industry kubwa kwa sababu pesa ipo, iwe chafu au safi ipo mtaani inaajiri na kustarehesha.

Wewe kaa hapo upige makelele wakati uwanja wa mpira tu kuuendesha mnashindwa, hamna hela mngewaachia tu wachina. na hiyo bandari ndiyo kabisa, hamna kitu mtafanya.
Tunahitaji Dollar ngapi kuhakikisha hatuendelei kuzalisha wachuuzi na kutengeneza shughuli zenye ujira ili watu wapate pesa ya kununulia yale mazao yanayoozea mashambani ?
 
So waafrika ubongo wetu mbovu
Yes Bold kabisa hilo jibu. Akili ni mbovu sana! Hivi kiongozi anaenda kuficha Billions of Money Uswizi huko halafu anajiona Bonge la mjanja yaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Au anahingwa na wawekezaji halafu anajenga apartments anajiona ana akili kuzidi Waafrika wote[emoji1787]
 
Huku tunaingizwa kwenye mikataba mibovu na kupewa matozo
 
Ndio hapo nikakuuliza kuanzia mwanzo maendeleo ni nini; Sababu ukijibu hilo basi (na hilo ni subjective) basi siwezi kukubishia utakachoelezea; Kwahio inabidi tuweke premises...

Kwangu mimi kuendelea ni journey; kutoka hapa mpaka pale na katika kutoka hapa mpaka pale ni kuweza kuhimili mazingira unayoishi... Ndio maana wewe leo unaweza ukasema USA imeendelea ila kwa jicho la Mzawa - Red Indian akaona USA imepiga hatua nyuma - Yaani kwa kukata ile miti, surroundings na kuweka malls na maviwanda ambayo yana-poison rivers, overfishing, overproduction na kulishana sumu.... Shitting where they are Eating n.k....

Ndio hapo nikasema definition yako itategemea tunaongelea nini - Ila in any ones book huwezi kusema umeendelea wakati majority ya watu wako wanaishi in slums - Au Basic Needs sio Chakula, Malazi na Mavazi tena ?
Okay ..so according to u India ni nchi maskini?
 
Back
Top Bottom