Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Ndio hapo nikakuuliza kuanzia mwanzo maendeleo ni nini; Sababu ukijibu hilo basi (na hilo ni subjective) basi siwezi kukubishia utakachoelezea; Kwahio inabidi tuweke premises...🤣Okay indicators za development ni mambo kama GDP life expectancy mortality rate literacy rate per Capita etc...India wamejitahidi in most.. na maendeleo yake tunaona in terms of science na trade..na investments
Kwangu mimi kuendelea ni journey; kutoka hapa mpaka pale na katika kutoka hapa mpaka pale ni kuweza kuhimili mazingira unayoishi... Ndio maana wewe leo unaweza ukasema USA imeendelea ila kwa jicho la Mzawa - Red Indian akaona USA imepiga hatua nyuma - Yaani kwa kukata ile miti, surroundings na kuweka malls na maviwanda ambayo yana-poison rivers, overfishing, overproduction na kulishana sumu.... Shitting where they are Eating n.k....
Ndio hapo nikasema definition yako itategemea tunaongelea nini - Ila in any ones book huwezi kusema umeendelea wakati majority ya watu wako wanaishi in slums - Au Basic Needs sio Chakula, Malazi na Mavazi tena ?