Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Moja Clan can not Defeat Empires - Usitegemee African country moja moja kushindana na Big Empires (uwezo huo haupo) hence ni labda wenyewe kujitegemea (self reliance na kuacha ubinafsi na uchoyo)...kwa asili mwanadamu hapendi kushindwa na kuwa chini ya mwingine,.. hivyo wanachokifanya hao developed kwa developing countries ni jambo la kawaida sana kwa asili ya namna binadamu alivyo... UPUMBAVU ni kwa hao developing countries kuendelea kulia lia bila kuchukuwa hatu zinazoeleweka ili kujikwamua na umasikini wao, wamebaki tu kuwa wazembe,wavivu,wezi,watu wa kulialia tu na udumavu wao wa akili....
Mbili mifumo iliyopo naturally developing countries zinanyonywa unapangiwa kuanzia bei mpaka cha kuuza na jinsi ya kuuza - Vilevile hata mkisema free market muwe na soko la wote (Kama vile wanavyotaka European Union Partnership kwamba kuwe na soko huru) utajikuta wewe unauza malighafi na kuuziwa junks zao - Why ? Kila ukiuza your finished products unapangiwa standards ambazo wanasema haujakidhi... - So playing field is not level....