Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

Alright this is a good idea...🤣 imebaki kuimplement tu
 
Very true... serikali ni watu..na Kama watu hawana Nia..nchi haiwezi kuwa tajiri
 
🤣🤣🤣So wananchi 2000 kijijini hela ya kujenga wanasoma wapi..shida wanalipa Kodi so wanaamini ni haki Yao kujengewa
 
So solution ni kujitegemea hata Kama hatuna ujuzi...hii ni impossible, hata Dubai imeendelea coz of watu wa nje ..hata Saudi. Ni makubaliano tu kuwa mazuri
 
Waafrika tuna shida vichwani mwetu hebu angalia nchi zilizo na watu weusi zilivyo maskini licha ya kutokuwa barani Afrika mfano nchi kama Haiti Jamaica na zote zilizo Caribbean pacific ni maskini wa kutupwa kutwa kucha wanahatarisha maisha yao kuingia Marekani kwa njia za kishenzi.Waafrika tujitathmini
 
Kibaya zaidi tumekosa utashi wa kujua priorities mfano unatumia mabilioni ya pesa kukimbizia mwenge huku wanafunzi wanakosa mikopo ya chuo au wakipata inakuwa asilimia ndogo ambayo haikidhi hizo education costs
 
Ndio...lakini hatuko tayari kuwa na sheria ya kuua. Mbona kipindi Cha magu mambo yalikuwa yanaenda tu
Mbona kuna watu mikoa ya Mbeya Rukwa Njombe Songwe Ruvuma tangu mwaka 2018 walijianzishia kamfunfumo kao kakukusanya mapato mpaka mh Rais Samia amegundua juzi tu .Huyo Magu 2018 alikuwepo lakini hayo majizi hakujali .Sisi waafrika sijui tuna nini!
 
Kiongozi wa Gaboni Ally Bongo. Baada ya kupinduliwa kakutwa nyumbani na ofisini kwake kuna maroba yamejaa dolla na pesa za nchi mbali mbali.

Huo ndio uhalisia wa Viongozi wa nchi za Waafrika.
Miaka nenda rudi Afrika ipo vile vile.

Sasa viongozi wamebaki kuuza raslimali za nchi na vyanzo vya mapato.
Kisa Waafrika Wananchi hawana uwezo wa kufanya chochote cha kiuchumi.

Maneno ya Mchungaji Mtikila RIP na Maneno ya Aliyekuwa Raisi wa Marekani Donald Trump. Ndio uhalisia wa Waafrika na Nchi zao.
EPIDOMIA.
 
Ila south Africa na Nigeria wamejitahidi
 
Kibaya zaidi tumekosa utashi wa kujua priorities mfano unatumia mabilioni ya pesa kukimbizia mwenge huku wanafunzi wanakosa mikopo ya chuo au wakipata inakuwa asilimia ndogo ambayo haikidhi hizo education costs
Very true...Ila mambo ya mwenge si naskia Kuna mda yaliachwa
 
Mbona kuna watu mikoa ya Mbeya Rukwa Njombe Songwe Ruvuma tangu mwaka 2018 walijianzishia kamfunfumo kao kakukusanya mapato mpaka mh Rais Samia amegundua juzi tu .Huyo Magu 2018 alikuwepo lakini hayo majizi hakujali .Sisi waafrika sijui tuna nini!
Hahaha...ndio lakini at least awamu ya tano vitu vilikuwepo vinaenda
 
That's the truth...Ila tutatue asa tatizo...tutengeneze viongozi bora
 
Kosa lingine la mwalimu lilikuwa kuingiza siasa itawale uchumi... eti mashamba ya Jamaa, maduka ya ujamaa etc... Kuna binadamu by nature ni very lazy, very corrupt, ni wezi balaa... Sasa hawa ndiyo uwaweke pamoja?? No way...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…